Ni kweli Sugu kataka wawakatae hata kwa mawe viongozi wabovu?

yeah,sidhani kama wata chukulia haya mambo kimya kimya,...
yasije kumtokea kama ya jamaa wa temeke hadi sasa anaogopa kugombea kule
tena!

Mheshimiwa Speaker, cjui jamaa wa Temeke kakuchufua na nini...Naona comment zako zote ni za kuonyesha chuki na dharau..Nway,Ubarikiwe sana mkubwa na haya maisha ndo niliyoyachangua hivyo sema yote uliyonayo moyoni bila kuzuilia neno hata moja...wansi ageni thenki yu...
 
Ni kweli ameyasema haya, na ni makosa makubwa sana kwake kisiasa....tatizo ameshindwa kutofautisha ethics za Bongo Fleva na Ubunge..mwenyekiti alifanya kazi ya ku-qualify statements za Sugu palepale jukwaani..ilikua ni aibu sana aiseee..

Hao mafisadi waliotuibia hawaoni aibu???...then unataka tuwapambe kwa mauwa na kuwapigia makofi pindi wajambo mbea...daima mwizi au kibaka anapigwa mawe na sio kuimbiwa taarabu na kushangiliwa, walahi RACHEL njoo mbeya ndo utajua kama hayo ni maneno ya sugu au kauli mbiu ya wanambeya....sugu oyeee....kaza buti baba...
 
Unajua wakati flani unaweza kuona vyombo vya habari pia hupotosha kauli sahihi inayotamkwa na mhusika,Rais Mkapa anawakwepa sana wandishi wa habari kwani ni wapotoshaji,Sugu hawezi kuongea hayo kwani nina iman Chadema huwafunda vijana wao Tanzania nzima na si wabunge tu.
 
Nimesikia kwenye habari za magazetini asubuhi
hii kwamba mbunge wa mbeya mjini
ame hamasisha wana nchi wa mbeya kwamba
akija kiongozi ambaye hawamtaki,...
au kiongozi yeyote,hata kama "ni raisi" ni haki yao kumkataa
haka kwa kumpiga mawe!

Kama hii ni kweli,basi Dr.Slaa na wazee wengine ndani ya chadema
mna kazi ya kuwafundisha wabunge vijana
jinsi ya kuongea kwenye public na jinsi ya kutembea "normal" ukiwa na uheshimiwa!

Hizi sio kauli za kutolewa na kiongozi yeyote yule,...
kuna watu walio kuwa wanataka kujiunga na chadema,au walio
muunga mkono sugu,..na ambao ni wastaarabu watakua hawaja furahiswa na
kauli hii,...

na hao wataendelea kuamini kuwa chadema wana hamasisha vurugu!

Ombi:
Naomba viongozi wa chadema,walioko huko kwenye maandamano
wakanushe maneno haya (kama sio kweli kwamba sugu haku yatamka)
maana naamini kila alosikia habari hii kasikitishwa sana,...

sugu ana bifu binafsi na jk kuhusu ishu ya 'malaria haikubaliki'.

lakini wewe mkuu unaonaje, mtu kama jk hastahili kupigwa mawe?
 
Sina uhakika na habari yako kama ni muendelezo wa kujichuna gamba au kujivua gamba. Ila katika siasa kuna misamiati mingi sana hata kama amesema cha ajabu nini?, au ndiyo kutaka kupenyeza agenda mnazotaka?, mi nadhani watanzania wana akili sana zaidi ya baadhi ya waanzisha mada hapa JF na wanasiasa waganga njaa. Kauli kama hizi zimewahi tolewa mara nyingi.

  1. "CCM tuwabebe, tuwakumbatie Tuwabusu, WAPINZANI tuwachanechane tuwatupe" - TOT ya CCM - Je wanamaanisha kuwachachana wapinzani kwa visu, viwembe, au mapanga?
  2. "Hii ni vita na lazima tushinde" - JK on 2010 election Je alimaanisha kutumia jeshi la wananchi linalomtii kupigana?
  3. "CHADEMA Itakufa" - Mukama, Je alimaanisha kuua wanachadema(i.e viongozi na wanachama na wapenzi wa chama?)
JF is more than this kind of stuff, ndiyo maana siku hizi watu makini siwaoni hapa maana jamvi limevamiwa na viwavi jeshi wao hawachagui wala kuchuja, reputation ya member hujengwa na member kwa kuwa na uwezo wa kujenga hoja siyo cheap propaganda, ungeijengea hoja mada yako kuliko kuiacha ina hang hewani.

CCM walikuwa na wimbo maarufu sana uliokuwa ukiongozwa na kapt Komba wakisema
'wapinzani tuwachanechane tuwatupe'

Siku hizi siusikii hata kwenye kampeni mwaka jana sikuusikia,kulikoni ?

Naombeni kuwauliza,...
1.hao mlio wataja ni binadamu pia,wakijisaidia haja kubwa milangoni kwao na nyie mta waiga?
2.kwa maana hiyo kila kitu inabidi kifanywe "kwa sababu ccm wamefanya"?
3.nini tofauti kati ya chadema na ccm?
4.mnataka kusema kwamba,chadema ikishika madaraka
wakatokea mafisadi ndani ya serikali ya chadema tusiulize kwa
sababu tutajibiwa "mbona waliwahi kuwepo wa ccm kama RA,EL etc"?

Tumieni akili kidogo,sio kujibu kama tabwe hiza kila kitu
 
Hiyo ilikuwa ni habari ya REDIO Uhuru, redio ya "Propaganda ' ya Chama Cha Magamba. Waandishi na watangazaji wao wanaeleweka kwa kuwa mabingwa wa kugeuzageuza habari ili CCM ihurumiwe. Tatizo ni kwamba wana Mbeya hawahitaji kufundishwa la kufanya na Sugu maana tayari tulishafanya uamuzi hata kabla ya kumchagua Sugu kwamba ifikapo 2015 hatutaki kumwona mtu akija kunadi sera za chama cha wezi, vibaka na walaghai a.k.a. chama cha kujivua magamba lakini bila kuitapika sumu!
 
sugu ana bifu binafsi na jk kuhusu ishu ya 'malaria haikubaliki'.

lakini wewe mkuu unaonaje, mtu kama jk hastahili kupigwa mawe?

ningekua na mtazamo sawa na sugu nisinge lalamika hapa mzee
 
hata kama kalishwa maneno ya hao propangadist wa ccm bado hajasema kipya ambacho hakipo mbeya
 
Mmoja kati ya hawa watu,kama hakuwepo uwanjani basi yeye ni mchawi,tena mchawi kweli kweli:

Ni kweli alisema hivyo,ila Mh.MBOWE aliyarejea na kuyafafanua palepale mkutanoni kuwa,tuwapige mawe kwa kuwakataa wao na pamoja na sera zao.Hata hivyo,sidhani kama SUGU alimaanisha kuwapiga mawe kwelikwani akihitimisha maneno hayo alisema;tuwapige mawe,tuwakatae kabisa.Ni wajibu wa viongozi kufafanua lugha zenye utata wanazotumia wawapo jukwaani kwani tafsiri tofauti huweza kujengeka;KAMA AMBAVYO HUYO MWANDISHI ANATAKA TUAMINI,NAMNA ALIVYORIPOTI NI TOFAUTI NA NILIVYOSHUHUDIA

na huyu hapa,ila huyu nahisi ndo mchawi

siwezi kuchangia topic ya kijinga hivi , mimi niko mbeya na nilikuwepo kwenye huo mkutano na napenda kuwakikishia kuwa Sugu hajasema hayo bali yamebuniwa na waandishi fulanifulani wa chama fulani kwa malengo fulani , Sugu mwenyewe watu wa namna hiyo anawaita...MAKANJANJA..sasa kama kijana mpenda maendeleo siwezi kupoteza muda kujadili hoja za makanjanja...FULLSTOP!

na huyu sijui anataka kusema kwamba wabunge na viongozi wote wa chadema ni "malaika"?
so,yule alosema wafunge milango wapigane nae ali fundwa?
nani alimfunda?

Unajua wakati flani unaweza kuona vyombo vya habari pia hupotosha kauli sahihi inayotamkwa na mhusika,Rais Mkapa anawakwepa sana wandishi wa habari kwani ni wapotoshaji,Sugu hawezi kuongea hayo kwani nina iman Chadema huwafunda vijana wao Tanzania nzima na si wabunge tu.

sawa,uhuru wametoa habari,...tena wame kandia kweli kweli,
turudi nyuma,habari yenyewe ni uongo?
kwanini kuwapa sababu za kuongea sana?

Hiyo ilikuwa ni habari ya REDIO Uhuru, redio ya "Propaganda ' ya Chama Cha Magamba. Waandishi na watangazaji wao wanaeleweka kwa kuwa mabingwa wa kugeuzageuza habari ili CCM ihurumiwe. Tatizo ni kwamba wana Mbeya hawahitaji kufundishwa la kufanya na Sugu maana tayari tulishafanya uamuzi hata kabla ya kumchagua Sugu kwamba ifikapo 2015 hatutaki kumwona mtu akija kunadi sera za chama cha wezi, vibaka na walaghai a.k.a. chama cha kujivua magamba lakini bila kuitapika sumu!

Ni either tuondoe tatizo,au tuendeleze maneno ya kijinga kiasi hiki ili mwishoni
watanzania waone chadema ni chama cha maneno ya aina flani!
 
Nimesikia kwenye habari za magazetini asubuhi
hii kwamba mbunge wa mbeya mjini
ame hamasisha wana nchi wa mbeya kwamba
akija kiongozi ambaye hawamtaki,...
au kiongozi yeyote,hata kama "ni raisi" ni haki yao kumkataa
haka kwa kumpiga mawe!

Kama hii ni kweli,basi Dr.Slaa na wazee wengine ndani ya chadema
mna kazi ya kuwafundisha wabunge vijana
jinsi ya kuongea kwenye public na jinsi ya kutembea "normal" ukiwa na uheshimiwa!

Hizi sio kauli za kutolewa na kiongozi yeyote yule,...
kuna watu walio kuwa wanataka kujiunga na chadema,au walio
muunga mkono sugu,..na ambao ni wastaarabu watakua hawaja furahiswa na
kauli hii,...

na hao wataendelea kuamini kuwa chadema wana hamasisha vurugu!

Ombi:
Naomba viongozi wa chadema,walioko huko kwenye maandamano
wakanushe maneno haya (kama sio kweli kwamba sugu haku yatamka)
maana naamini kila alosikia habari hii kasikitishwa sana,...

Taarifa hiyo ni ya kweli.Mimi nilikuwepo kwenye maandamano na kwenye mkutano wa hadhara,sikupenda jinsi Sugu alivyokuwa anaongea,usela umekuwa mwingi sana.Lakini nashukuru Mbowe alirekebisha kauli hiyo kwa kusema kupiga mawe ni pamoja na kususia shughuli au bidhaa za mafisadi.Narudia tena Sugu lazima ajifunze kuongea na watu vinginevyo CHADEMA ITAONEKKANA SIO MAKINI WAKATI SIO KWELI.
 
mixed feeling..........wengine kasema...wengine hajasema...mimi nilikuwepo kikaoni...mwingine mimi nilisikia lakini mbowe akaweka sawa........

mambo ya ajabu kweli......................
 
Huyu anastahili ushauri nasaha.Najua ana hasira na baadhi ya mambo yaliyomfika ila inatakiwe atambue kuwa kwa sasa ni Mheshimiwa mbunge wa Chama cha upinzani ambacho chama tawala kinatafuta kila aina ya sababu kukishusha hadhi.
Hili ni jambo la pili binafsi kunikera kwa kauli za baadhi ya wa CDM katika mikutano ya hadhara.
Mgombea wa ubunge Temeke alikuwa wa kwanza na hili la Sugu.Kauli moja inaweza ku dent reputation ya Chama hasa katika kipindi hiki ambacho habari inasambaa haraka mno.
Nimesikia katika kipindi cha tuongee magazeti toka RFA kuwa Mbowe amemekemea.

Naunga hoja mkuu.Sugu lazima akubali kubadilika.Amekuwa akifanya makosa mengi ambayo yanampunguzia credit yeye pamoja na Chama.Sugu amezungukwa na washikaji ambao lengo lake ni kupiga mizinga lakini hawamsaidi,amekua akijitenga na jamii.Pamoja na kwamba tunaweza kupuuza,lakini watu wananung'unika chinichini,mfano suala la kumfanya Mshikaji wake MKOLONI KUWA KATIBU,na kuwaacha vijana wa Mbeya.Sionyeshi ubaguzi lakini angetoa ajira kwa vijana wa jimbo lake (japo sio ajira rasmi)
 
yaani hapa kila mtu anaongea kivyake .....kama ule wimbo wa tears on my pillow...kila mwimbaji kauimba kivyake.....
 
mixed feeling..........wengine kasema...wengine hajasema...mimi nilikuwepo kikaoni...mwingine mimi nilisikia lakini mbowe akaweka sawa........

mambo ya ajabu kweli......................
Yaani hawa watoa taarifa hata hawaeleweki, wamekaa kiushabiki zaidi kila mtu anavutia kwake!
 
naunga mkono hiyo kauli ya sugu,watanzania lazima tujifunze kuonyesha hisia zetu,kama kiongozi hatumtaki tumfukuzilie mbali:israel:
 
Back
Top Bottom