Ni kweli Sugu kataka wawakatae hata kwa mawe viongozi wabovu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli Sugu kataka wawakatae hata kwa mawe viongozi wabovu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, May 8, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimesikia kwenye habari za magazetini asubuhi
  hii kwamba mbunge wa mbeya mjini
  ame hamasisha wana nchi wa mbeya kwamba
  akija kiongozi ambaye hawamtaki,...
  au kiongozi yeyote,hata kama "ni raisi" au fisadi ni haki yao kumkataa
  "hata kwa kumpiga mawe!"

  Kama hii ni kweli,basi Dr.Slaa na wazee wengine ndani ya chadema
  mna kazi ya kuwafundisha wabunge vijana
  jinsi ya kuongea kwenye public na jinsi ya kutembea "normal" ukiwa mheshimiwa!

  Hizi sio kauli za kutolewa na kiongozi yeyote yule,...
  kuna watu walio kuwa wanataka kujiunga na chadema,au walio
  muunga mkono sugu,..na ambao ni wastaarabu watakua hawaja furahiswa na
  kauli hii,...

  na hao wataendelea kuamini kuwa chadema wana hamasisha vurugu!

  Ombi:
  Naomba viongozi wa chadema,walioko huko kwenye maandamano
  wakanushe maneno haya (kama sio kweli kwamba sugu haku yatamka)
  maana naamini kila alosikia habari hii kasikitishwa sana,...
  Au kama kasema,basi aonywe mara moja
   
 2. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukute ni mwansele wa gazeti la Uhuru
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ni gazeti gani lililoandika?
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu,sijui wengine wataonaje kitu hiki!
  ila mimi naona ni kama kuichafua chadema,na hii haitakiwi kuachwa hivi,...
  1.kama ni kweli sugu aonywe kutoa kauli za ajabu ajabu hivi
  2.kama sio kweli,basi wakanushe habari za gazeti hili,....

  In any ways,wakilikalia kimya bila kuangalia ukweli uko wapi lita waghalimu sana
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nilikua ndani,mwenye radio yuko nje sijajua ni redio gani,..
  ila kaongelea mda mrefu habari ya sugu na uhamasishaji wake
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Angalia kwanza aina ya hilo gazeti! uhuru,mzalendo,habari leo, na udaku mwingine wa ccm?
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kama ni hayo magazeti na wasipo kanusha haitakua na impact au?
   
 8. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Huyu anastahili ushauri nasaha.Najua ana hasira na baadhi ya mambo yaliyomfika ila inatakiwe atambue kuwa kwa sasa ni Mheshimiwa mbunge wa Chama cha upinzani ambacho chama tawala kinatafuta kila aina ya sababu kukishusha hadhi.
  Hili ni jambo la pili binafsi kunikera kwa kauli za baadhi ya wa CDM katika mikutano ya hadhara.
  Mgombea wa ubunge Temeke alikuwa wa kwanza na hili la Sugu.Kauli moja inaweza ku dent reputation ya Chama hasa katika kipindi hiki ambacho habari inasambaa haraka mno.
  Nimesikia katika kipindi cha tuongee magazeti toka RFA kuwa Mbowe amemekemea.
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mbona raisi alishawahi kupigwa mawe mbeya? Sugu ameexpess wananchi wa mbeya wanachokifeel!
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kama amefanya hivyo basi lazima aombe radhi na kusema alipitiwa na moment of excitement, hatuwezi kukubali mambo kama haya kutoka kwa viongozi ambao ndio taswira ya jamii yetu

  The boy needs speed gavana sasa
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  sidhani kupigwa mawe
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  yeah,sidhani kama wata chukulia haya mambo kimya kimya,...
  yasije kumtokea kama ya jamaa wa temeke hadi sasa anaogopa kugombea kule
  tena!
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  so mtu akipigwa ndo useme endeleeni kumpiga?
  sidhani kama wata muachia hili lipite hivi hivi
   
 14. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  sugu uwezo wake ni miziki ya kufokafoka na sio siasa, hata hivo sugu kushinda ccm walimpambanisha na mtu aliyekuwa hakubaliki ndani ya ccm yenyewe. Nilisha wahi changia kuwa Sugu uchaguzi ujao hawezi shinda tena, kwani uwezo wake ni mfinyu mno.Maneno aliyoyaongea ni kama tulivosikia na mara baada ya yeye kuchemka Slaa na Mbowe wakaona aibu na mbowe pale pale akasimama na kumkosoa vikari kwa upupu aliouongea,yaani anazidi kujizika yeye mwenyewe.waswahili tunasema mazoea hujenga tabia, sugu alizoea toka akiwa mwana muziki katika majukwaa ni kuimba miziki ya kupaka(kutukana,kujisifu ...) kwahiyo nawashauri viongozi wa chadema watu kama hao musiwape nafasi ya kusimama kwenye majukwaa.
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wengi huwa wana msema sana zitto,naamini zitto hua anachukua maneno yao na
  ana jijenga zaidi,...
  hawa kina sugu na lema mmmh,kasi hii sio nzuri hasa kama hawataweza kui-control midomo yao
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  kila mtu atapewa nafasi ya kugombea na kuwa kiongozi ndani ya chadema,..
  na kila mtu ata fundishwa jinsi ya ku-act kama kiongozi!

  Hakuna aliye kamili,kosa atakalo fanya sugu ni kuto jifunza baada ya jama kukemewa
   
 17. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Umesikia
  Ni bora ukalitafuta gazeti lililoandika hivyo then rudi kutuhabarisha sisi ambao hatujasikia, Waandishi wa Tanzania unawafahamu utakuta Title Nzuri Content tofauti ili wao wafanye biashara.
   
 18. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  wewe unataka gazeti gani liandike ili ujue kama ni tatizo? Mtu anapochemka kwenye masuala ya msingi anatakiwa kusemwa ili asirudie kwani ni aibu kubwa kwa mbunge kunena hayo. Niliwahi sikia mtu akivuta bangi hata akiacha ile athari humtoka baada ya miaka 40.kwahiyo asiwe alipanda jukwaani akiwa amesha pandisha mzuka. maana siamini kama mtu mzima wa akili anaweza kuongea hayo mbele ya wapiga kura wake.Ivi anadhani wapiga kura ni mazuzu?mara nyingi ukiwa pale jukwaani ongea uwezavyo lakini ukitoka pale ujue ima umejijenga au umejibomoa kwani wanachi watabaki wanayajadili maneno yako na kujua kama unawafaa kwa maendeleo au la
   
 19. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  kwa wakati huu mi naona wabondwe mawe tu...na ikibidi hata mapana wacharazwe,sio watu wa kuwaonea huruma wahujumu uchumi...na sugu nae akiboronga acharazwe mapanga,hadi kieleweke.The leaders need to serve the people and not their stomach and family.
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sina mbavu kabisa
   
Loading...