Ni kweli SAVANNAH INTERNATIONAL SCHOOL inamilikiwa na familia ya RAIS KIKWETE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli SAVANNAH INTERNATIONAL SCHOOL inamilikiwa na familia ya RAIS KIKWETE?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jiwejeusi, May 11, 2011.

 1. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanajf, naomba msaada wa kumjua mmiliki wa shule ya kimataifa ya savannah iliyoko shy mjini. Kuna uvumi umeenea kuwa, shule hiyo inamilikiwa na familia ya rais. Kinachofanya uvumi huu uenee kwa kasi sana ni safari za mara kwa mara za salma na rizwan katika shule hiyo.
  Ndugu, kwa yeyote humu jamvin, anayeweza kunisaidia juu ya jambo hili, ntashukuru.
   
 2. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna shda gani ikiwa ni ya kwao?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tUIACHE IWE TETESI, LAKINI Haijalishi kama inamilikiwa na familia... cha maana tu ni riziwani kudeclare kwamba ana share pia kwenye makampuni mangapi na zina thamani ya shilingi ngapi halafu watu wajue vinaendanaje na maelezo yake ya mwanzo ya kujitetea

  Nampongeza mama kama atakua amefungua shule kwani we need more schools....
   
 4. s

  seniorita JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  as long as imefunguliwa na "clean money" ila kama fedha zetu zimechakachuliwa kwa watu kufungua shule za biashara hapo ndipo neno
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni ya kwao ndio ukihitaji document ntazipublish
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Salma Kikwete ni Mwalimu ki-usomi - so I do not see any problem kama WAMA inaweza kufungua shule na yeye kuwa Board Chairman!
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hakuna mwenye shida na hiyo shule kuwa yao, lakini wameipataje? jamaa wanatajwa kwenye miradi mingi tu, sidhani kama hii yote inatokana na pesa halali, kuna jengo moja la ghorofa upanga near super star, linaitwa Swiss Tower, nasikia nalo ni la familia ya kikwete chini ya Riz1(tetesi).Kweli Tanzania shamba la bibi kila anaeingia ikulu anahakikisha amevuna na kuacha mabua.
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kuna tatizo gani familia hii wakimiliki shule?!, hutaki watoto wa wasukuma wapate elimu bora?!, wewe unataka familia hii imiliki mahoyeli na machimbo ya dhahabu tu?,
   
 9. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Shule inamilikiwa na mfanyabiasha mkubwa wa mafuta na almasi hapa Shinyanga anaitwa Phantom, kuna mtoto mdogo wa JK (Wa mwisho kama sikosei) anasoma pale na mara nyingi mama ake huwa anakuja kumtembelea. So hizo tetesi zako ni za uongo.
   
 10. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hata wakimiliki shule wewe inakuhusu nini? Wacheni ujinga. Mkitaka familia ya Rais imiliki nini, MIKOKOTENI? Si mungeliwacheka!!! As long hiyo shule iwe ya halali.
   
 11. j

  juniorfeb18 Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo sio kumiliki shule,tatizo ni ada inayolipwa hapo.nafikiri wadau hamfahamu kwamba ada kwa mwaka kwa mwanafunzi mmoja ni zaidi ya dola (USD) elfu kumi.ni mtoto wa msukuma yupi atakaeweza kusoma hapo?
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Una uhakika???
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,780
  Trophy Points: 280
  boa wafanye hivyo kuliko kina mkapa walinunua mahoteli dubai an southafrica
   
 14. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  unajua tatizo ni moja. usiri umezidi sana katika serkali lakini tukizungumza ki comon sense (sio kisiasa)
  mtu kama kikwete anahaki ya kua tajiri mkubwatu kihalali kwa sababu ya historia yake.
  kutoka kw babake, yeye mwenyewe koote alikopita hadi leo raisi.
  tatizo linakuja kua, usiri umezidi, hata hizo secretariet ya kuchunguza mali za viongo nayo hua haisemi kwa wananchi kua nani anamiliki nini kiasi gani sehem gani toka lini na kapata vipi n.k
  wakipokea form wanakaa nazo kimya, sasa hapa ndipo wananchi wanapoanzia ku doubt.

  na pia pale umiliki huu unapotiliwa mashaka na mhusika akakaa kimya ndipo tataiizolinapoua kubwa.
  lakini pia umiliki huu unapozidi uwezekano wa kihalali wa mhusika hapa kwa kweli inakua nongwa.

  lakini zaidi ya hapo sioni tatizo hyo shukle kumilikiwa na prezidaaa.
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Mnauliza vp wakati ikulu ni mradi wa familia ya kikwete?.....mbona salma alijichotea mihela kibao wakati wa kampeni?...kwa hiyo kuwa na hako ka shule mnaona nongwa sana eeehhh.......?...mbona kuna mambo makubwa na ya ajabu kuliko hako ka shule.....we unadhani kwa nini riziwani anashutumiwa kumiliki mabilioni angali mtoto mdogo?.......hii ndiyo faida ya kuwa na mradi mzuri km huu wa ikulu....na bado mtajuuta kumfahamu kikwete>
   
 16. kidadari

  kidadari JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2017
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 2,347
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  duh
   
Loading...