Ni kweli Rostam na wenzie wana PASSPORT za nchi 4?

LGMJAMII

Member
Nov 5, 2010
44
1
Wana jamii forums eti ni kweli rostam, lowassa, meghji, ki, karamagi wana passport za nchi 4?, Au ndio maana HAWANA UCHUNGU wa TAIFA HILI?
 
inawezekana ikawa true kama wangekuwa na uchungu wasingekuwa wanaiba mpaka kufuru kama ni hela wao tayari ni matajiri wa kutupa hata bila kuongeza dili za kuhujumu watanzania
 
kuna taarifa kuwa hawa jamaa waliandaa hujuma za kunajisi mkutano mkuu wa dayosisi ya mashariki uliokuwa na lengo la kumpata askofu mkuu wa kanisa hilo.
njama zao ziligundulika mapema na askofu benson bagonza wa jimbo la karagwe ndiye aliyetoa angalizo la wanasiasa kuingiza maslahi yao katka uchaguzi huo wa kanisa na hata mmoja wao akiwa si muumini wa kanisa hilo(rostam)
my take:
hivi hao jamaa hawamwogi mungu?
wanataka kupandikiza maslahi yao hadi kanisani?
wana hati miliki ya maisha?
kwanini wasiwekeze kwa masikini mambako ni sawa na kumkopesha mungu?
wajue wazi watanzania wa sasa si mabwege tena na wasubirie 2015 kihama chao ktk siasa za tz
 
Habari yako haina uthibitisho wala source
 
ni vigumu kutoa comment kwenye habari hiyo kwani haina uthibitho au labda uueleze uma vizuri na chanza chake
 
habari yako haina uthibitisho wala source
kama ni mfuatiliaji mzuri wa magazeti nadhani uliona jinsi magazeti ya rostam yale ya mtanzania na mengineyo yalivyokuwa wanafanya mashambulizi kwa askofu malasusa
rositam alitoa pesa kusaidia kikundi cha kwanya mil 5 na pesa zake alirudishiwa kwani kkkt hawakuwa tayari kupokea pesa za mtu aliyekosa moral authorities kwenye jamii tokana na tuhuma mbalimbali,
hapo ndipo alipoamua kuhamishia hasira zake kumshambulia malasusa,
mungu mkubwa pesa zao zimeshindwa na aibu imewakuta
 
Back
Top Bottom