Ni kweli Rais kikwete Nde aliyefuta zile teaching allowance za enzi zileeee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli Rais kikwete Nde aliyefuta zile teaching allowance za enzi zileeee?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mansakankanmusa, Jul 31, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa aliahidi kuboresha elimu, na kama ni kweli alifuta zile posho za kufundishia wakati ule, basi walimu wanastahili kugoma wakati wake, na kwa kuwa baadhi ya mawaziri wanajibu hoja hovyohovyo kuwa watumishi wote wanastahili allowance si sahihi na walimu wanakila haja kugoma, kila mtumishi anastahili kudai lwake, madaktari wamedai lao, ni zamu ya walimu.

  source: mimi mwenyewe
   
 2. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  no ni kipindi cha mkapa,jk anaendeleza 2
   
Loading...