Ni kweli pesa ya BTP imeongezeka?

gast123

Member
Feb 25, 2017
31
16
et wadau nasikia pesa ya kujikimu katika mafunzo kwa vitendo kwa walimu(BTP) imepanda je ni kweli mwenye tetesi atujuze
 
Acha kufurahia pungu we. Hujui unajiongezea mzigo wa kulipa baadaye!
 
Back
Top Bottom