Ni kweli panya road wamerudi Dar?

Nasikia panya road wamerudi kwa speed ya jet
Unaishi wapi kwanza maana sisi wa Mbezi beach hatujasikia hayo mambo yenu. Mnaogopa vijana wapuuzi kama huwezi kumiliki bunduki unashindwa nini kujiweka kijanja nunua sime kwa Masai 15000 tu unalinoa fresh akitia mkono mtu unaondoka na kiganja kama wembe. Wekeni ulinzi shirikishi kama huwezi kumiliki mbwa na kuweka mlinzi.

Mnatudharaulisha sana wanaume wa Dar as if wote ni waogawaoga . Kwanza upo wapi?

Halafu Joyce Kiria ni dadako?
 
Ina maana jeshi limezidiwa na hili kundi je mbowe angekua gaidi kweli hata kumkamata ingekua ishu
 
Machinga wanatafuta pakuanzia.hakuna Cha panya Wala Nini,watoke maeneo yasiyotakiwa machinga ni watembeza vitu bidhaa mitaani wao wanajenga na vibanda kabisa na mitaji ya M 15.wakiambiwa wasepe ooh ukabaji na wizi utaongezeka mitaani wanamtisha Nani?
 
Mm sijawaogopa mkuu.ni mshikaj wangu Wa midizid Jana ndo aliniambia waliamsha kitaa sna uck Wa kuamkia ijumaa.Joyce ni sister.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom