Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,402
- 35,083
Habari wana JF
Kuna hili swala nilikuwa nasikia zamani kidogo, kuwa paka ana roho saba. Ndo maana anakuwa mgumu kufa.
Nakumbuka siku Fulani nilikuwa na rafiki zangu, tukamuona paka tukampiga na jiwe kichwani akawa anapapalika then akatulia. Sisi tukasepa lile eneo baada ya kurudi hatukumta yule paka pale.
Swali ni hivi ni kweli paka ana roho saba au stori tu za mtaani?