Ni kweli nilikosa,nataka kumrudia X Girl friend wangu

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Jamani nilikuwa na mwanamke ila tukaachana lakini moyo wangu unatamani kumrudia japo kuwa tayari ana mwingine
 
Ww n bonge la fala embu
Acha kutudalilisha wanaume
Unaenda kulamba matapish

Wakat wanawake wamejaa
Mtaan na utakua umekaa
Kenya co bure hao jamaa
Wa kenya ndo wamebeba sana huu ufala
 
Ww n bonge la fala embu
Acha kutudalilisha wanaume
Unaenda kulamba matapish

Wakat wanawake wamejaa
Mtaan na utakua umekaa
Kenya co bure hao jamaa
Wa kenya ndo wamebeba sana huu ufala
kujaa sio tatizo
 
sana tu sijui kma ntapata kma yeye
Sasa unahangaika nn Mkuu na jibu unalo mwenyew kumbe jamn
ccbf56dc3d8dfdfa0d5849f89d294dc5.jpg
 
Jamani nilikuwa na mwanamke ila tukaachana lakini moyo wangu unatamani kumrudia japo kuwa tayari ana mwingine
Mbona vijimaneno vichache hivyo...?

Eleza kwa kina yaliyo kusibu, Sasa kama nyuzi zako zipostyle hii ni hatari/Janga.
 
Jamani nilikuwa na mwanamke ila tukaachana lakini moyo wangu unatamani kumrudia japo kuwa tayari ana mwingine
Kama huna jibu la hili tu, basi mda mwingi penda kusoma comment za wengine na usishare chochote mpaka utakapokuwa Poa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom