Ni kweli necta hawaku-post matokeo ya kidato cha nne mwaka 2006?

Me mwenyewe cjawah kuyaona,na nlikuaga m1 wa wahitimu wa mwaka huo?
 
Yani mm mwenyewe nimeyatafuta mpaka nimegonga mwamba. Nimeenda mkoani wanasema hayakutolewa huo mwaka sasa sijui tutayapataje;
wadau tusaidieni jamani tunashida nayo sana.
 
Yani mm mwenyewe nimeyatafuta mpaka nimegonga mwamba. Nimeenda mkoani wanasema hayakutolewa huo mwaka sasa sijui tutayapataje;<br />
wadau tusaidieni jamani tunashida nayo sana.
<br />
<br />
ka unashida nayo c uende necta direct watakusaidia.
 
Overall Gpa =jumla ya mwaka wa kwanza+jumla mwaka wa pili+jumla mwaka 3 gawanya kwa miaka uliyosoma
 
Back
Top Bottom