Ni kweli mwanaume anaweza kusaidia misukosuko ya ujauzito?

Hii kitu ina ukweli kidogo

Mi niliona kaka yangu alikula embe mbichi, udongo na kuumwa kila siku asubuh mpaka mkewe alipojifungua ikaishia hapo. Na huwa inakuwa kama mume akiwa hivyo bac mke haumwi kabisa. Sasa sijui huwa inahusika vip hapo.

Nataman imemtokee na wangu ili ajue inavyokuwa nami nipumzike...
Ila ukitafuta connection yake ndio unachoka kabisa
 
Mimi mume wangu imeshamtokea kwa nikiwa na ujauzito (two times). Ila doctors wanakataa kuwa ni kwa sababu ya mimba. Yaani hakuna scientific explanation. Ila wazee wanasema lots of stories in connection with that. Kuna mama alinambia sababu ni kuwa niliwahi kumruka mume wangu wakati nina mimba akiwa amelala. Si unajua zile za kumruka mtu wakati wa kutoka kitandani. Well ni complicated lakini ipo. My hubby anatapika mpaka mimba yangu inafika miezi minne. Mimi si feel chochote napeta tu.
 
Back
Top Bottom