Ni kweli mwanaume aliyetoa bikra anakuwa na bahati katika maisha yake?

KOROE

Member
Dec 6, 2017
90
637
Nimesikia sehemu eti mwanaume aliyewahi kutoa bikra huwa anakuwa na bahati sana kwenye maisha yake, eti kwamba bikra inaondoa mikosi na balaa katika maisha.

Kuna ukweli wowote hapa??
 
Hakuna lolote. Hizo ni hoja za kishirikina.
 
Nimesikia sehemu eti mwanaume aliyewahi kutoa bikra huwa anakuwa na bahati sana kwenye maisha yake, eti kwamba bikra inaondoa mikosi na balaa katika maisha.

Kuna ukweli wowote hapa??
Wewe unatafuta sababu ya kubaka visichana vidogo . huyo mganga wako anakupoteza!!!!
 
mmh huo sasa ni ushirikina...watu tumetoa hizo zaidi ya 100 na hakuna lolote, zaidi zaidi ni usumbufu tu
 
Nimesikia sehemu eti mwanaume aliyewahi kutoa bikra huwa anakuwa na bahati sana kwenye maisha yake, eti kwamba bikra inaondoa mikosi na balaa katika maisha.

Kuna ukweli wowote hapa??
hoja za walio filisika kimawazo hizo
 
Nimesikia sehemu eti mwanaume aliyewahi kutoa bikra huwa anakuwa na bahati sana kwenye maisha yake, eti kwamba bikra inaondoa mikosi na balaa katika maisha.

Kuna ukweli wowote hapa??
Inaonyesha muda sio mrefu,Jela ndo yatakuwa makazi yako rasmi kwa kipindi kisichopungua miaka 30.
 
Mfano wa picha ninayoitaka:
1: bikra yenyewe
2: mtoaji anaitoaje( process).
3: baada na kabla ya kuitoa.
 
Nimesikia sehemu eti mwanaume aliyewahi kutoa bikra huwa anakuwa na bahati sana kwenye maisha yake, eti kwamba bikra inaondoa mikosi na balaa katika maisha.

Kuna ukweli wowote hapa??
Ukweli upo siyo kwamba unakuwa tajiri ila unakuwa hauna mikosi mikosi
 
Back
Top Bottom