Ni kweli musculine guys wanavutia zaidi kwa ladies? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli musculine guys wanavutia zaidi kwa ladies?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by charger, Jun 21, 2011.

 1. charger

  charger JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,325
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Habarini ndugu zangu,

  Kuna post ya REV FR ya hivi karibuni alitupa mambo flani muhimu kuzingatia ili inapofika 6x6 mambo yanakuwa muruaaa.Akaongelea pia umilikaji wa vitambi unavoweza kupunguza utamuz.

  Katika utafiti nimegundua ladies wengi wanapenda having sex with musculine guys,Vifua vikubwa,waliokata hewa yani wanakuwa kama engulfed flani hivi je shape inamchango gani kwenye majamboz au ni fikra tu jamani.

  Nawasilisha kwa hatua zenu muhimu.
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sasa je! we unaonaje?
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mh kwa taarifa yako yale majohn sina saana wala hawawez mambo....UKIMPATA UYO WA KIFUA ICHOO,MKONO HUO MREFUU...ahh mara chache sana kujua kumiliki kandanda....

  anayeitajika ni yule aliye fiti..mrefu kdg mwili wa mazoez na UJUZI wa mchezo...BT SIYO UBAUNSA TU NDO IWE TKET YA KUJUA /KUMILIKI KANDANDA VYEMA APANA..
   
 4. a

  allydou JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 1,484
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  nimejibanza kando naangalia mchezo.
   
 5. charger

  charger JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,325
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ndio maana nimelileta hapa chauro,ila umesema hisia zako NIMEIPENDA
   
 6. charger

  charger JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,325
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ha ha haa Rose majohn sina sio ndio yenyewe mnayapenda,yanapeleka moto balaa au?
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  aaah wap! Mtu kama Undertaker anamvuto gani sasa? Mabonge safi sana!
   
 8. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mnadiscuss wacheza mieleka siyo??!
   
 9. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu kama wale,kwanza hamu ya kufanya sex kwao ni ndogo sna kutokana na mazoezi, pili sio kua ni wote ambao wanakua watundu wa sex, maybe girls hupenda wako stong,kama an actor huyu ambaye jina lake DWAYNE JOHN ambaye gilrs watampenda kwamuonekano wake, nahsi maybe muonekano wao, lakin si utundu wa sex,
   
Loading...