Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member Nov 20, 2010 1,802 282 Nov 24, 2010 #1 naomba mnijibu mnaofahamu,jamaa amewamwagia mshko hawa watangazaji?
JAYJAY JF-Expert Member Oct 31, 2008 7,509 7,537 Nov 24, 2010 #2 Hilo ni ngumu sana kujua ukweli wake. Hivi huyo jamaa bado anaendelea kuwafadhili original komedi?
Luno G JF-Expert Member Sep 22, 2012 2,549 1,842 Oct 6, 2013 #6 vicentii said: Sikweli bado ni mtangazaji wa clauz Click to expand... Soma post vizuri tazama mwaka ambao uzi ulianzishwa kabla ya kuchangia
vicentii said: Sikweli bado ni mtangazaji wa clauz Click to expand... Soma post vizuri tazama mwaka ambao uzi ulianzishwa kabla ya kuchangia
idawa JF-Expert Member Jan 20, 2012 25,284 38,312 Oct 6, 2013 #7 Wamenunuliwa wakatangaze tv gani kwani Manji ana tv.?
idawa JF-Expert Member Jan 20, 2012 25,284 38,312 Oct 6, 2013 #8 Wamenunuliwa wakatangaze tv gani kwani Manji ABA ana tv.?
C.T.U JF-Expert Member Jun 1, 2011 5,070 3,718 Oct 6, 2013 #9 idawa said: Wamenunuliwa wakatangaze tv gani kwani Manji ABA ana tv.? Click to expand... kwa story za kwa mafundi viatu wa hapa mjini nilishawahi kusikia eti Manji kawekeza mkwanja mrefu sana clouds kama sio kuinunua... Ngoja kesho kwa job naenda kupeleka kiatu changu kupiga rangi tena nitadadisi vizuri
idawa said: Wamenunuliwa wakatangaze tv gani kwani Manji ABA ana tv.? Click to expand... kwa story za kwa mafundi viatu wa hapa mjini nilishawahi kusikia eti Manji kawekeza mkwanja mrefu sana clouds kama sio kuinunua... Ngoja kesho kwa job naenda kupeleka kiatu changu kupiga rangi tena nitadadisi vizuri