Ni kweli MUSA HUSEIN na MILAD AYO wamenunuliwa na Manji kutoka EATV?!

Hilo ni ngumu sana kujua ukweli wake. Hivi huyo jamaa bado anaendelea kuwafadhili original komedi?
 
Wamenunuliwa wakatangaze tv gani kwani Manji ana tv.?
 
Wamenunuliwa wakatangaze tv gani kwani Manji ABA ana tv.?
 
Wamenunuliwa wakatangaze tv gani kwani Manji ABA ana tv.?


kwa story za kwa mafundi viatu wa hapa mjini nilishawahi kusikia eti Manji kawekeza mkwanja mrefu sana clouds kama sio kuinunua...

Ngoja kesho kwa job naenda kupeleka kiatu changu kupiga rangi tena nitadadisi vizuri
 
Back
Top Bottom