Ni kweli mtu aliesoma cbg awez kuapply coz yoyote ya afya ispokuwa inveronmental health

erasto eyp

New Member
Mar 11, 2020
2
1
Ndugu wana jamvi mimi ni muitim wa olevel mwaka huu, nlikuw nataka nipige cbg ili badae nije nisome coz ya laboratory technician, sasa kuna mtu ameniambia kuwa kwa sasa mwanafunzi aluesima cbg awez kuapply coz yoyote ya afya uspokuwa environmental health. hiv ni kweli? kama ni kweli coz gan nyingine tofauti na coz za afya ambayo iko vizuri? naomben
msaada wenu tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CBG ni sawa na kozi za art siku hizi
 
It depends na qualifications za vyuo mbeleni mzee kama ni ndoto yako na ndo masomo unayoweza hayo pga zen utaanzia diploma ya lab tech zen degree
 
Som
Ndugu wana jamvi mimi ni muitim wa olevel mwaka huu, nlikuw nataka nipige cbg ili badae nije nisome coz ya laboratory technician, sasa kuna mtu ameniambia kuwa kwa sasa mwanafunzi aluesima cbg awez kuapply coz yoyote ya afya uspokuwa environmental health. hiv ni kweli? kama ni kweli coz gan nyingine tofauti na coz za afya ambayo iko vizuri? naomben
msaada wenu tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Somea sayansi pure, geog hapo haina kazi, geog ya olevel inatosha sana mkuu
 
Soma PCB

Back
Top Bottom