Ni kweli mtoto potential(special) akizaliwa kuna wataalamu wa dunia hujua?

Salaam! Kuna kitu kinatatiza sana, hivi mtoto potential akizaliwa sehemh yoyote duniani, kuna watu hujua ujio wake? Hao watu ni nani?

Je, kuna nini kinafanyika ili kumbaini na kum-trace? Wajuvi wa mambo tusaidieni tafadhali.

Mshana, The bold na wengineo!

Nawasilisha.
Mm nikimuona tu na mjua
 
mahajusi
 
Kila mtoto ni special na Ana mission yake hapa duniani.. unconsciously wengi tunashindwa ku unlock potential zetu inatokana na sababu nyingi tu ikiwemo siasa Vita stress anxiety depression umasikini nakadhalika..hao tunao waona ni special ni kwamba nyakati na Hali ya dunia imewapa fursa ya kufanikisha potential zao...mfano rahisi tu umezaliwa kipindi ambacho hakina smartphone nchi yako inavita umekosa sehemu ya ku uknowladge potential yako na unakipaji kikubwa Sana ndani yako kinaitwa CODING...my dear who will understand you... Pythagorus( Kama sijakosea) alizaliwa huko Greece na kipaji kikubwa Sana Cha hesabu astronomy nk..na ndio hicho kipindi Greece inadevelop katika mambo ya uhandisi, music na elimu ya anga so he was lucky he was born at the right place to the right time mpaka leo tunamjua kuwa alikua ni Nani ...My dear mimi wewe na watoto wako wote we have our potential, maybe tumezaliwa to the wrong place or at the wrong time,( how to unlock your full potential?, Wajuzi ni wengi Sana humu watatusaidia)
Kwahyo kwa maana hiyo Mungu anaweza kumleta mtoto duniani mwenye potential bila kumuandalia mazingira ya ku unlock hiyo potential yake? Hilo mm siliamini ila naamini Mungu anapoleta kiumbe duniani tayari ameshaandaa mazingira ya huyo mtoto kutimiza purpose yake angalia mfano yesu alishaandaliwa mazingira na watangulizi wa kuhakikisha anatimiza purpose yake. Mwingine yusuph, yona na hata nuhu na ibrahim
 
Upo too optimistic brother nlishaweka kila kitu kinachochangia kutofikia potential yako... Hiyo ni kiimani zaidi yesu alikua ni Mungu kwenye ule utatu MTAKATIFU sio binadamu ni roho ya Mungu iliyokwenye ubinadamu ..sisi tunazungumzia binadamu wakawaida hapa brother
 
Kwahyo kwa maana hiyo Mungu anaweza kumleta mtoto duniani mwenye potential bila kumuandalia mazingira ya ku unlock hiyo potential yake? Hilo mm siliamini ila naamini Mungu anapoleta kiumbe duniani tayari ameshaandaa mazingira ya huyo mtoto kutimiza purpose yake angalia mfano yesu alishaandaliwa mazingira na watangulizi wa kuhakikisha anatimiza purpose yake. Mwingine yusuph, yona na hata nuhu na ibrahim
 
Pia unaamini kwamba umeletwa tu duniani bila purpose yoyote?? Tuchukulie mfano wa kawaida what if Lionel Messi angezaliwa kijijini kwenu na aachane na Mpira afate masomo Kama wazazi wengi wakitanzania miaka ya 90 walivyokua wanafanya je angekua mchezaji Bora wadunia wa muda wote kuwahi kutokea?... What if Robert enstain angezaliwa Somalia na akafia vitani who would know such kind of talent ever existed.. ingekuaje wewe na talent yako uliyokua nayo hivi Sasa, Mimi nisiyoijua ungezaliwa kwenye mazingira yanayokuruhusu kutumia kipaji chako ambacho kitakufanya uwe recognized dunia nzima??
 
hqdefault.jpg

Unachosema ni kweli kabisa
 
Yaani unatolea macho movie mwanzo mwisho afu huelewi.

Na hujari wala nini unajua JF ipo utatuletea maswali ya kindezi.

Mkulungwa punguza movie za kiboya wewe sote ni special kwa Mama zetu.
 
Back
Top Bottom