Ni kweli Membe amechukizwa na uongozi wa Awamu ya Tano au ni pandikizi la system ndani ya upinzani?

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Inaniwia vigumu kuwaamini makachero mithiri ya Membe,viapo vyao ni noma sana,anyway ngoja tuone kuelekea October na baada ya October

Hivi upinzani wa Tanzania ukoje?,unashindwaje kuanda presidential material persons ukizingatia upinzani nchini una muongo mmoja na zaidi kwa sasa? Au ni vyama vya kula ruzuku tu?

Tuna safari ndefu sana, na Magufuli ndio kalibumburua
 
Hivo "VIAPO VYAO NOMA SANA" ulivyosema, ndio sababu ya yeye kukataa uongozi wa kiimla/wakitemi nchini.

Watu wanasifia na kuimba mapambio tu, ila kiukweli nchi inakwenda pabaya sana na imeshafika pabaya sana. Katiba wala Sheria hazifuatwi na viongozi wa nchi sambamba na kuthamini "VITU badala ya WATU".

Kutazama "MWENDO KASI/SGR/NDEGE/KIWANJA CHA NDEGE CHATO/FLY-OVER" hakika ni jambo la kufurahisha sana na kusafisha macho. . . . .

Ila jambo kuu la kujiuliza raia wa hali ya chini katika maisha yake ya kila siku amepata "NAFUU/AHUWENI" gani katika utawala huu???? Kipato chake kimeongezeka??? Mlo wake umeongezeka (Badala ya mlo mmoja, sasa anakula milo miwili au mitatu)??? Uhakika wa ajira upo???
 
Ila jambo kuu la kujiuliza raia wa hali ya chini katika maisha yake ya kila siku amepata "NAFUU/AHUWENI" gani katika utawala huu???? Kipato kimeongezeka??? Mlo umeongezeka (Badala ya mlo mmoja, sasa anakula milo miwili au mitatu)??? Uhakika wa ajira upo???
Research yako umeifanyia wapi?
 
Nimeifanya nikiwa chumbani faragha na dadako.
Wanajinganganya hawa
Screenshot_2020-07-12-20-49-41.jpg
 
Hivo "VIAPO VYAO NOMA SANA" ulivyosema, ndio sababu ya yeye kukataa uongozi wa kiimla/wakitemi nchini.

Watu wanasifia na kuimba mapambio tu, ila kiukweli nchi inakwenda pabaya sana na imeshafika pabaya sana. Katiba wala Sheria hazifuatwi na viongozi wa nchi sambamba na kuthamini "VITU badala ya WATU".

Kutazama "MWENDO KASI/SGR/NDEGE/KIWANJA CHA NDEGE CHATO/FLY-OVER" hakika ni jambo la kufurahisha sana na kusafisha macho. . . . .

Ila jambo kuu la kujiuliza raia wa hali ya chini katika maisha yake ya kila siku amepata "NAFUU/AHUWENI" gani katika utawala huu???? Kipato kimeongezeka??? Mlo umeongezeka (Badala ya mlo mmoja, sasa anakula milo miwili au mitatu)??? Uhakika wa ajira upo???
Unajua maana ya uchumi wa kati?

Acha maswali ya hovyo

Magufuli yupo mbali sana zaidi

CCM itatawala milele kama hoja za

Upinzani ni za matukio tu,no Sera.

Watu wana akili zao.

Stesheni
Lindi
 
Wakiandaa mgombea mnammiminia risasi 38. Wapinzani wenu mnataka ndani ya miaka mitano wasifanye shughuli zao za kikatiba (siasa). Huyo mgombea ataandaliwa saa ngapi ?! .
 
Hivo "VIAPO VYAO NOMA SANA" ulivyosema, ndio sababu ya yeye kukataa uongozi wa kiimla/wakitemi nchini.

Watu wanasifia na kuimba mapambio tu, ila kiukweli nchi inakwenda pabaya sana na imeshafika pabaya sana. Katiba wala Sheria hazifuatwi na viongozi wa nchi sambamba na kuthamini "VITU badala ya WATU".

Kutazama "MWENDO KASI/SGR/NDEGE/KIWANJA CHA NDEGE CHATO/FLY-OVER" hakika ni jambo la kufurahisha sana na kusafisha macho. . . . .

Ila jambo kuu la kujiuliza raia wa hali ya chini katika maisha yake ya kila siku amepata "NAFUU/AHUWENI" gani katika utawala huu???? Kipato chake kimeongezeka??? Mlo wake umeongezeka (Badala ya mlo mmoja, sasa anakula milo miwili au mitatu)??? Uhakika wa ajira upo???
Hujuwi kama watoto wa hao unaowaita watu wa chini wanasoma shule bure bure? Hujuwi tu bado hao watu wa chini wanatibiwa bure na vituo vya afya ni kila kata? Bado hujui hao watu wa chini wanafanya biashara bila kubughudhiwa? Safari hii hamtakuwa na hoja bali tutashuhudia vioja.
 
Inaniwia vigumu kuwaamini makachero mithiri ya Membe,viapo vyao ni noma sana,anyway ngoja tuone kuelekea October na baada ya October

Hivi upinzani wa Tanzania ukoje?,unashindwaje kuanda presidential material persons ukizingatia upinzani nchini una muongo mmoja na zaidi kwa sasa? Au ni vyama vya kula ruzuku tu?

Tuna safari ndefu sana, na Magufuli ndio kalibumburua
Ni kweli manake ccm imekuwa hovyo kabisa.
 
Inaniwia vigumu kuwaamini makachero mithiri ya Membe,viapo vyao ni noma sana,anyway ngoja tuone kuelekea October na baada ya October

Hivi upinzani wa Tanzania ukoje?,unashindwaje kuanda presidential material persons ukizingatia upinzani nchini una muongo mmoja na zaidi kwa sasa? Au ni vyama vya kula ruzuku tu?

Tuna safari ndefu sana, na Magufuli ndio kalibumburua
Unaadaaje ,wakati watu wanasaliti?
Lipumba,kawa Msaliti
Slaa kawa msaliti
Lisu kapigwa Risasi
Unadhani nani tena liye na umaarufukihiivyo.
Hamadi Rashid kawa Msaliti.
Cheyokawa msaliti
Mrema kawa Msaliti
Mbatia yuko njiani kutuacha mkono.
ACT kimekuwa chama cha wakimbizi wa kisiasa na waliosalitiwa au kufukuzwa kwenye vyama vyao.
It make a good combination.
Karibu Membe
 
Mwakani Membe naye utamuunganisha kwenye list uliyoitaja
 
Back
Top Bottom