baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,710
- 4,448
Sasa Mkuu unatokaje kupiga Iran tokea Saudia bila kupitia Iraq?Hapana mkuu...mtume hakuwapiga wairaq...waarabu wameivamia Iraq kipindi cha Islamic conquest Na jihad ambapo Abbasids walipoingia Baghdad.
Persia haikuwa Arabized mpaka leo Iran sio waarabu.
Halafu uwepo wa gavana muislam sio point kwani kwamfano Mansa Musa alikuwa mfalme Mali Na muislam, Mpaka alienda kuhiji kwahyo inatosha kusema Mali Enzi hizo ilikuwa ya waarabu?
Next time ukibisha Weka Evidence Iraq ilikuwa ya waarabu Enzi Za mtume
Na huyo gavana si kwamba dini yake ni muisilamu, nimesema gavana ku maanisha kama mkuu wa mkoa na raisi (Khalifa) anakuwa Makkah/Madina. Hivyo ki Authority yupo chini ya Dola ya kiisilamu.
Hii ni ramani ya Eneo alilokuwa anatawala Umar Khalifa wa 2 wa uisilamu baada ya Mtume.
Source
Military conquests of Umar's era - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Hii ni ramani ya middle east.
Hivyo unaona toka Kipindi cha makhalifa wanne tayari Iraq ilikuwa ni himaya ya kiisilamu. Baada ya makhalifa wanne kikaja kipindi cha Umaiya then ndio Hio Abasiya.
Hivyo si kweli kwamba Iraq imekuwa Conquered kipindi cha Abbasids.