Ni kweli Marekani amepandikiza virusi vya Corona ili kuishusha China kiuchumi?

hayaland

JF-Expert Member
May 4, 2012
712
399
Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake.

Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
 
Inawezekana hiyo hujuma imefanyika. Wanasema kesi za awali za huo ugonjwa zimekuwa zikiibuka sehemu tofauti bila mtiririko au mpangilio fulani unao julikana unajionesha kwa kesi za maambukizi ya kawaida.

Hii ni kama kuna mtu alikuwa anapandikiza kimkakati sehemu fulani maalumu. Kama ni kweli hii itakuja kusababisha kisasi baadae.

Sema jamaa nao waache kula kila matakataka.
 
Sio kweli... Na hata kama ni kweli haiwezi kuwa public hivi karibuni
Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake.

Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
IMG-20200204-WA0074.jpeg

Jr
 
Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake.

Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
Marekani wana historia ya kufanya unyama kama huo na kwa vile technolojia ya kufanya hivyo wanayo, hakuna sababu ya kutokuamini hivyo.

Fuata link ifuatayo upate undani zaidi wa habari hii.

Sio kweli... Na hata kama ni kweli haiwezi kuwa public hivi karibuni View attachment 1346869

Jr
Mshana nimefuatilia jambo hili kwa undani, si kweli, after all "new coronavirus"ni virus ya hivi karibuni tu, mpya wamefanya lini huo utafiti? Tuwe wajanja na makini jamani, jamaa naona wako determined kuwalisha watu cocaine bila kupenda.Hizi ni fake news za Sky news na YouTube.
 
Mshana nimefuatilia jambo hili kwa undani,si kweli,after all "new coronavirus"ni virus ya hivi karibuni tu,mpya,wamefanya lini huo utafiti?Tuwe wajanja na makini jamani,jamaa naona wako determined kuwalisha watu cocaine bila kupenda.Hizi ni fake news za Sky news na YouTube.

Jr
 
Not true,soma kwa undani acha uvivu,nasikia uvivu kuweka evidences maana ziko nyingi kuwa mmarekani hahusiki ndo maana China hainyooshei kidole,marekani haihusiki na hilo acheni story za kashaka na kahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo hzi story ndo wanapenda, Tanzania ni soko kubwa Sana la movie na series za nje ,inaingoza Africa mashark
 
Not true,soma kwa undani acha uvivu,nasikia uvivu kuweka evidences maana ziko nyingi kuwa mmarekani hahusiki ndo maana China hainyooshei kidole,marekani haihusiki na hilo acheni story za kashaka na kahawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu be logical.Kitaalamu viruses are very easy to bio-engineer,na sio siri kwamba scientists wa Marekani wanafanya sana bioengineering ya viruses for biological warfare.HIV-Virus,Ebola,SARS,Herpatitis A-D,Mad Cow Disease,zote ni bioengineered.And why bio-engineer viruses.Nia inaweza kuwa nzuri:for medical purposes,lakini inaweza pia kuwa mbaya:for warfare and purposely causing disease.

Sio siri pia kwamba Wamarekani wako kwenye hali ya kivita na China.Sasa kama wana silaha,ambayo ni "bio-engineered,the new coronavirus," kwa nini wasiitumie.Nadhani ni straight forward.Hii inawezekana hasa
kwa vile taifa la Marekani ni ovu sana.
 
Back
Top Bottom