Ni kweli maendeleo hayana vyama?

Kamgomoli

JF-Expert Member
May 3, 2018
1,865
3,801
Kuna mkuu wa shule fulani Mkoani Iringa aliwahi kuingia matatani baada ya kupokea msaada wa madawati kutoka kwa Mh. Msigwa.

Sehemu mbalimbali nimekuwa nikiskia baadhi ya taasisi zikikwepa au kugoma kabisa kupokea misaada ya Wapinzani, lakini Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa maendeleo hayana vyama.

Hebu tuijadili hii kauli kwa kulinganisha na tunayoyaona mahali tunapoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna video clip nimeiona ya polepole akielekeza kuwa, mahali popote penye mbunge wa ccm hata kama akifanya mabaya asisumbuliwe!

Na huyo ni katibu mkuu wa chama tawala!
Na mwenyekiti wake anasema maendeleo hayana vyama!

"Kaburu ni kaburu tu hata akiwa na ngozi nyeusi, kama anamawazo yaleyale ya kikaburu ni kaburu tu" jk nyerere.

Sent using Redmi Y2
 
Back
Top Bottom