Ni kweli machinga complex imewanufaisha watz?

Hayati

Member
Jul 1, 2011
64
5
Amani iwe kwenu wn jf.Ni muda ss tangu majumba ya machinga complex yaanze kutumika rasm.kwa lengo la kuwapatia ajira watanzani.kwa maoni yangu ajira walizopata watz hao haziwanufaishi kwa sababu zifuatazo.0
1)wafanyabiashara wa mjumba hayo hawana wateja wa kutosha.hii husbbisha iledhamira ya kujikomboa na umasikini kukwama.wengi wa wateja huenda kariakoo.manzese na ilala kwani bidhaa zinazouzwa machinga zinapatikana kwa wingi.
2)Licha ya yote ushuru unaotozwa ni mkubwa kulinganisha na biashara ilivyo hususani majengo juu.
3)Mtaji mdogo wa wafanyabiashara hivyo kutohimili ushindani wa kibiashara km vile matangazo na kadhalika. Katukisema wakope cha kulipa watakipata wapi na biashara nyenyewe haitoki.
Ni vyema serikali kuangalia kwa makini isijekuwa badala ya kupiga vita umasikini wakatengeneza umasikini.

JE WW UNAMCHANGO GANI KUHUSU HILI?
 
huo mjengo waufanye night club kama Ambiance huenda ndipo watapata wateja,huo ni mradi uliobuniwa kisiasa zzidi kuliko hali halisi,OYEE KIMBISA
 
Machinga Complex ni mchemko mwingine wa Serikali yetu.
Ni kisiasa zaidi kuliko kiuchumi na kijamii
 
Mkuu, pale wamekosea wamechanganya siasa na biashara, wote waliopewa sio machinga, ukipita pale utakuta wamelala tu
 
Machinga wameshindwa wameamua kuwabambika madada wanao enda china .
Wamewauzia kwa bei tosha!
 
HAYO NDIO MATOKEO YA KUDANDIA TRENI KWA MBELE!!

Mzee ndesamburo alikua na hilo wazo la kujenga machinga complex kwa wafanyabiashara wa Kiboriloni Moshi WAKAMNYIMA KISIASA baadae wakaamua kuiba wazo lake BILA KUWA NA PLAN na hayo ndio matokeo yake!!!!

Yaani hawa watu wasivyokua na mipango yakinifu hawachelewi kwenda kujenga kiwanda cha samaki Iringa lol
 
Back
Top Bottom