Ni kweli kwamba sehemu ya serikali ya Zambia inaendeshwa na wachina??

Mbikiboy

Member
Feb 15, 2019
90
86
Wadau kuna tetesi kwamba sehemu ya serikali ya Zambia inaendeshwa na Chinese,Je ni kweli holi jambo!
IMG-20200511-WA0012.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio issue ilitokea mwakajana kama sio juzi kua wamechukua shirika la umeme la nchi hio kwasababu ya mikopo
 
Na mkasema mashine zao za kupima korona ni feki, cheki rebound ya nakonde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom