M Mbikiboy Member Feb 15, 2019 90 86 May 11, 2020 #1 Wadau kuna tetesi kwamba sehemu ya serikali ya Zambia inaendeshwa na Chinese,Je ni kweli holi jambo! Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau kuna tetesi kwamba sehemu ya serikali ya Zambia inaendeshwa na Chinese,Je ni kweli holi jambo! Sent using Jamii Forums mobile app
K Kibwetelo JF-Expert Member Nov 21, 2018 734 596 May 11, 2020 #2 Hio issue ilitokea mwakajana kama sio juzi kua wamechukua shirika la umeme la nchi hio kwasababu ya mikopo
Hio issue ilitokea mwakajana kama sio juzi kua wamechukua shirika la umeme la nchi hio kwasababu ya mikopo
F fazili JF-Expert Member Jun 10, 2011 13,804 18,530 May 11, 2020 #3 Ikija zamu yetu itabidi uwaziri mkuu tumpe mchina.
TODAYS JF-Expert Member Apr 30, 2014 13,744 21,194 May 11, 2020 #4 Kabla ya kuweka bandiko mkuu nashauri ili uwe na weredi kwenye bandiko lako fanya kuingia kwenye mitandao ya huko Zambia hata Google search.
Kabla ya kuweka bandiko mkuu nashauri ili uwe na weredi kwenye bandiko lako fanya kuingia kwenye mitandao ya huko Zambia hata Google search.
C Chorio JF-Expert Member Apr 25, 2020 313 562 May 11, 2020 #5 Na mkasema mashine zao za kupima korona ni feki, cheki rebound ya nakonde