Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
wanaume wengi huwa wanaanzia hapo, kwa sisi wanawake asilimia kubwa tunaanzia na love.
Sasa na hizi artificial love (za kichina china) zinatokea wapi?
Halafu kuna mambo umekuwa ukizungumzia (mf. kupika, usafi etc), mimi kwangu sikuyapa uzito hata kidogo ingawa niliomba niyapate na nimepata kweli. Mimi nilikuwa namtafuta rafiki wa kweli (tunayependana na kuridhishana) na hayo mapungufu yake nilikuwa tayari kuyabeba isipokuwa yale ya hatari kama ulevi, uongo na kugawa chakula cha mwenyewa kwa vijizi!