Ni kweli kuwa wa Libya wakioa hulipiwa maali na serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli kuwa wa Libya wakioa hulipiwa maali na serikali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tiger, Oct 21, 2011.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nimekuwa nisikia watu wengi wakidai kuwa vijana wa Libya huwa wanalipiwa maali, wana pewa nyumba n.k wanapo-oa. Mbali na hilo nilishasikia kwamba huduma muhimu za kijamii kama vile maji, umeme na matibabu ni bure kwa hawa wenzetu.
  Kwa fikra zangu, naona mengine yanawezekana ila hili la maali na nyumba kidogo sijashawishika. Kwa hiyo naomba great thinkers mnitanabaishie jambo hili, kwani naamini kuna waungwana wanaoifahamu vizuri nchi hiyo.
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Labda Membe anaweza akawa anajua...
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Walikuwa wanalipwa wakati wa Ghadafi.Sio sasa walichotaka wakipata, posho zote zimekwisha
   
Loading...