Ni kweli kuwa serikali ya sasa haina hela?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,634
Habari ndugu zangu wa Jf!!
Nini kinaendelea hapa mi sijajua ila ninachokiona kama serikali haina hela ??
Kodi za vitu mbali mbali zimepanda!!
Kila kitu kipo juu,SAA iz kodi kila sehem had sehem ambazo hukuzani kumeanza kutozwa kodi!!
Ongezea kodi unazojua naww
Ukija swala LA Elimu ndo magumashi
HIVI INAKUAJE AWAMU HII MAMBO YA MIKOPO YANASUMBUA KULIKO MUHULA ULIOPITA
MARA uhakiki wa majina,Mara wanafuatilia wanafunzi hewa,Mara hela ya field magumashi,Mara wengine vilaza wanafukuzwa!!
JE NI KWELI SERIKALI HAINA HELA KUGHARIMIA WATU MIKOPO WANAYOPOKEA YA ELIMU?

NA KAMA IPO NN KINAENDELEA MBONA CHENGA NI NYINGI ??

KAMA NI KWELI HAINA HELA AWAM ILOPITA HELA ILIKUA INATOKA WAPI ?? JE ilikua n kodi? Au wafadhili?
Na kama wafadhili wamejitoa au VIP?
Mwenye kuelewa haya anifafanulie
 
we kilaza tu,

kichwa cha habar kinajibu uzi wako.Alafu uzi wako unauliza maswali ambayo yamejibiwa na kichwa cha habar.
 
Lipa kodi dai maendeleo.

Kama hautaki hamia nchi ambayo haina kodi
 
Mkuu hujaelewa tatizo sio kulipa kodi !! TATIZO NI KUWEPO KWA MAGUMASHI KTK BODI YA MIKOPO!!Je hii inatokana na nn??Labda utoe ufafanuzi Mara yakwanza pesa walikua wanapata wapi tofaut na sasa
 
Habari ndugu zangu wa Jf!!
Nini kinaendelea hapa mi sijajua ila ninachokiona kama serikali haina hela ??
Kodi za vitu mbali mbali zimepanda!!
Kila kitu kipo juu,SAA iz kodi kila sehem had sehem ambazo hukuzani kumeanza kutozwa kodi!!
Ongezea kodi unazojua naww
Ukija swala LA Elimu ndo magumashi
HIVI INAKUAJE AWAMU HII MAMBO YA MIKOPO YANASUMBUA KULIKO MUHULA ULIOPITA
MARA uhakiki wa majina,Mara wanafuatilia wanafunzi hewa,Mara hela ya field magumashi,Mara wengine ****** wanafukuzwa!!
JE NI KWELI SERIKALI HAINA HELA KUGHARIMIA WATU MIKOPO WANAYOPOKEA YA ELIMU?

NA KAMA IPO NN KINAENDELEA MBONA CHENGA NI NYINGI ??

KAMA NI KWELI HAINA HELA AWAM ILOPITA HELA ILIKUA INATOKA WAPI ?? JE ilikua n kodi? Au wafadhili?
Na kama wafadhili wamejitoa au VIP?
Mwenye kuelewa haya anifafanulie
hii serikali imejaa usanii sana, makodi yamejaa mpaka kero wananchi tunazidi kutaabika alaf viongozi wetu wanazidi kuneemeka mfano mwangalie mama janeth magufuli alivyo sasa hivi alaf angalia picha zake za mwaka jana alikuaje
 
Ha ha ha mi skufika huko
 
Hivi kam unampa mtu mkopo haijalishi mkopo wa nini,si unaweka vigezo na masharti then unampa.Mimi ningekua serekali ninge outsource kwa benki au sacos.Ila ningeakikishauuna wathamini hata kwa mazao mtalipa tu.Najua wwngine watanitupoa mawe.Hii inatufundishe tuzae watoto tuwatunze
 
Tatizo syo kupewa mkopo tatzo n kuwasumbua wale wenye vigezo
 
Back
Top Bottom