Elections 2010 Ni kweli kuwa kura za Lipumba ni nyingi kuliko za Kikwete kwa Zanzibar?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
738
Padri Privatus Karugendo alitoa hoja iliyonigusa. Alisema ilikuwaje Lipumba akamzidi Kikwete katika kura za Rais wa Jamhuri lakini Seif akashindwa kumzidi Shein?:angry::angry:

Naomba yeyote aliye na takwimu sahihi atusaidie kuzimwaga jamvini.
 
Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Padri Privatus Karugendo alitoa hoja iliyonigusa. Alisema ilikuwaje Lipumba akamzidi Kikwete katika kura za Rais wa Jamhuri lakini Seif akashindwa kumzidi Shein?:angry::angry:

Naomba yeyote aliye na takwimu sahihi atusaidie kuzimwaga jamvini.

mseto..........oooooooooooooooopps
 
bullet

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
1,047
534
jibu la swali hilo ndilo msingi wa msimamo wa maalim Seif baada ya kupewa cheo!
 
Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,621
2,266
inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA
 
Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,933
1,509
inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA
we ndo maana rushwa inakukuta na iendelee kukukuta tuu kwa kumpa kura yako huyo!
 
Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,407
266
inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA

ha haa haaa Mahesabu yetu bwana kituko
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
9,447
6,020
inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA

kwa ubungo....kama jk mwenyewe angegombea ubunge pamoja na mnyika, kwa namna mnyika alivyo mioyoni mwa watu si ajabu jk angekosa vile vile. wao walimtaka mnyika kama mbunge wao bila kujali rais ni nani. Na wengine walikwenda wakachagua mnyika tu diwani na rais wakaharibu.
 
Opaque

JF-Expert Member
Oct 24, 2008
1,135
392
inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA
Mnyika aligombea ubunge, tofauti na Seif na Lipumba waliogombea urais. Kuna hoja hapo!
 
jyfranca

JF-Expert Member
Oct 3, 2010
297
8
Kufananisha ubunge wa Mnyika na siasa za Zanzibar niupuuzi, kwa kifupi Maalim Seif Zanzibar ni maarufu kuliko Lipumba. Na lazima ujue watu wa Zanzibar wanampigia mgombea yoyote wa urais wa CUF, kama asingekua Lipumba yeyote angepata izo kura
 
Kachest

Senior Member
Nov 6, 2010
191
19
Mkufuatilia haya mtajiuliza mbona nec ilitangaza kuwa Dr. Slaa alipata kura 41 karatu hiyo inawezekana kweli?
 
Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Maskini Lipumba!!!!, amejifuta katika uwanja wa siasa za upinzani Tanzania kwa kujiingiza katika siasa nyepesi bila kufanya utafiti!!!!!!!!!! Sasa amenasa hana ujanja; CDM wamemsoma na kumwelewa! Inaelekea kubwaga manyanga baada ya kufeli mara nne mfululizo na kumkabidhi JK Ilani yake ya kafu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kiraia

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
1,715
992
Mkufuatilia haya mtajiuliza mbona nec ilitangaza kuwa Dr. Slaa alipata kura 41 karatu hiyo inawezekana kweli?

Hivi hili swala ni kweli? au NEC walikosea, haiwezekani jimbo aliloliongoza kwa miaka 15 apate kura 41, quite impossible.
 
The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
14,600
11,710
inawezekana......mbona kwenye kura za URAIS kikwete kamzidi slaa na za ubunge jimbo hilohilo mbunge ni mnyika(UBUNGO)
mimi ni mmoja wao....ya RAIS nimempa KIKWETE ya UBUNGE nimempa MNYIKA

Then you are STUPID!!!
 
Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,621
2,266
TAIFA KWANZA CHAMA BAADAYE....! CHAGUA MTU AFAAYE...SI CHAMA...CHAMA NI JINA TU ...KAMA MBOVU NI MBOVU TU HATA AENDE CHAMA GANI ...KAMA BORA NI BORA TU HATA AWE CHAMA CHA DOVUTWA(joke)
 
Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
107
hivi mwaka 2005 cuf walipata uwakilishi wa majimbo mangapi huko unguja na mwaka huu wamepata mangapi? Je ccm walipata wawakilishi wangapi huko pemba mwaka huo na ukilinganisha na mwaka huu? Ukipata jibu.....
Cuf walisha dhihirisha kuwa hawawezi kuongoza bali kupiga kelele ili wapate kula na sasa uhakika wa chakula kwa wanao jiita viongozi wa cuf hutawasikia tena wakiongea.
 
Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
825
480
Padri Privatus Karugendo alitoa hoja iliyonigusa. Alisema ilikuwaje Lipumba akamzidi Kikwete katika kura za Rais wa Jamhuri lakini Seif akashindwa kumzidi Shein?:angry::angry:

Naomba yeyote aliye na takwimu sahihi atusaidie kuzimwaga jamvini.

Sio kweli, matokeo ya Zanzibar kwa Lipumba na JK ni kama hapa chini:

Mkoa------------------JK------------ Lipumba

Kaskazini Pemba------ 8,644----------55,770

Kaskazini Unguja-------35,584 ---------5,174

Kusini Pemba-----------14,915--------- 42,303

Kusini Unguja-----------35,896--------- 6,454

Mjini Magharibi----------88,503---------49,955

Jumla-------------------183,542-------169,656

Lipumba kaongoza mikoa miwili ya Pemba wakati JK kaongoza mikoa mitatu ya Unguja. Unguja kuna watu wengi zaidi hivyo JK kupata kura nyingi zaidi.
 
Huu ni ushabiki wa kichama au? Nenda kwenye tume ya uchaguzi NEC, ipumba kamshinda Kikwete acha upuuzi wa kijinga
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom