Nimelipenda bandiko lako.Kama uko genuine,basi sawa tu.Kusema nimepata wapi unanishangaza.Ama hujawahi kusikia kuhusu makabila yasiyotakiwa kutoa rais?Ni Ibara ya Ngapi hiyo ya Katiba ya Tanzania inayosema hivyo, au ndio ule mwendelezo wa hisia. By the Way Makabila yako 120-130, hii ina maana probability ya kabila moja kutoa rais ni 1/125 (mutually inclusive basis). Mpaka sasa tumeona marais wanne na wote wanatoka makabila tofauti; hizo hisia kwamba kuna baadhi ya makabila hayatakiwi kutoa Rais unapata wapi? Mbona nyie watu mmekuwa na nongwa sana, mnasumbuliwa na nini? Hebu semeni ukweli wenu nini hasa kinachowasumbua. Hatuwaelewi mjue na mnazidi kujichanganya kila uchao?
Angekuwa mwarabu ungeacha kumpenda?Yakusikia changanya na yako na ya mbayuwayu utapata jibu.
Kama Urais kwa Mzee wa gongo, huyo umesikia kweli kabisa, maana baada ya kukosa maadili ya kanisa, kukosa maadili ya mitaani sasa kaanza kubwabwaja gongo. Halafu tumpe Urais huyo?
Kwanza nasikia huyo ana asili ya Kiarabu ya Iraq, eti kweli?
Mkuu nakubali ni semi za kipuuzi,lakini si issue ya kuupiziwa.Nadhani mtoa uzi amerejea zile semi za kipuuz za Mwl. Nyerere (byintution) aliwahi taja baadhi ya makabila kuwa hawatakiwi kushka nafasi kubwa kama urais. Uwezo wa mtu kuongoza hata siku moja hauhusiani na kabila lake.
Yakusikia changanya na yako na ya mbayuwayu utapata jibu.
Kama Urais kwa Mzee wa gongo, huyo umesikia kweli kabisa, maana baada ya kukosa maadili ya kanisa, kukosa maadili ya mitaani sasa kaanza kubwabwaja gongo. Halafu tumpe Urais huyo?
Kwanza nasikia huyo ana asili ya Kiarabu ya Iraq, eti kweli?
mkuu hebu yataje basi, na uweke vielelezo ni vipi yanazuiwa kutoa rais, maana inawezeka kweli kikatiba hilo swala halipo kama alivyosema mmoja wa mchangia mada, but labda kunajitihada za makusudi za kuzuia watu wa makabila fulani kugombea uraisi, tafadhali fafanua tupate mwanga kidogo sisi ambao hatujui kinachoendeleaNimelipenda bandiko lako.Kama uko genuine,basi sawa tu.Kusema nimepata wapi unanishangaza.Ama hujawahi kusikia kuhusu makabila yasiyotakiwa kutoa rais?
Yakusikia changanya na yako na ya mbayuwayu utapata jibu.
Kama Urais kwa Mzee wa gongo, huyo umesikia kweli kabisa, maana baada ya kukosa maadili ya kanisa, kukosa maadili ya mitaani sasa kaanza kubwabwaja gongo. Halafu tumpe Urais huyo?
Kwanza nasikia huyo ana asili ya Kiarabu ya Iraq, eti kweli?
I just noted this sorry mimi sipendi ukabila. Ila tu angalizo. Ni vigumu sana ingawa inawezekana kwa makabila makubwa kutoa Rais ... angalia makabila Marais wetu wote walipotoka... automatic Rais wa Bongo atatoka mwenye makabila madogo most of the time not always of course.
Nimetembea duniani kwenye nchi za kidemokrasia lakini sijawahi kusikia eti makabila flani hayatakiwi kutoa rais wa nchi.Only in Tanzania!Is it true?And if so,why?Ni kivipi tutazuia?je hilo halituathiri kama Taifa?
Huu ubaguzi autakaa uishe CCM wakiwa bado wanaongoza nchi.Hao ndio waenezaji wakubwa wa siasa za kibaguzi.
Siwezi kujiunga na Chedema kwasababu mimi sio Mchaga-Katibu mwenezi wa CCM,Nape.
Unaongelea maadili?Yale ya kusubiri watu wapike gongo ili polisi-CCM waje wachukue 'ushuru' wao?
Au yale maadili ya kubaka watoto wadogo na kuwaambukiza UKIMWI?
BOGUS KABISA!!