Ni kweli kuna Mahusiano Makubwa sana katika Mambo haya nawe chunguza tu.

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,401
Wadau nipo bongo nashukuru nimeikuta though ipo pale pale nlipoiacha haija move hata. Nlikuwa nchi za watu.ninyi binadamu mnaendelea kuwepo hapa hapa.

Nmepark gari restaurant flani pale posta kupata lunch karibu na jengo la rita kama sikosei. Kuna wasomali pale wana restaurant nzuri.

Nmeshuka nikakuta madereva taxi wanazungumzia kahawa wakibishana nani alipe kikombe cha ziada.nikavutiwa na ule ubishi nikasogea karibu maana walikuwa serious muuzaji anasema wamekunywa vikombe 9 wao wanasema 8 na kashata anadai wamechukua 14 wao wanasema 10.

Basi nikawasalimia nikaomba niweze kaa pembeni kidogo.nlipopark akaja kijana mmoja anataka kusafisha gari leo nlikuwa na BMW.nikamwambia hapana mimi situmii hizo sabuni kusafishia gari ipo sabuni maalum na pia huwa natumia maji ya presha.

But nikamwambia asijali mida ya kula hii akale.nikampa tu tsh 10,000 akale. Hawa madereva hapa nikawaambia kama wanatamani kahawa wanywe na hizo kashata muuzaji aweke kwenye sinia.akaweka zote. Nikamwambia awahudumie watanzania wenzangu wanyonge.

Akawahudumia.basi wakawa wanapiga stories n.k nikamuuliza bwana mdogo ananidai tsh ngapi akanambia 16,000. Wale madereva wakashtuka. Nikawaambia wasijali wao wale na kunywa.nikampa bwana mdogo tsh 20,000 akae nayo yote.

Ndo jamaa wakaanza kuongea.nilijifunza kitu flani zamani kidogo.barabarani sisi wenye magari huwa tupo peace sana tofauti na wenye vitz,alteza,subaru,ist,rav 4 ,xtrail and the like. Sisi wenye magari roho zetu nyeupe sana. Mtu akiomba kuingia mbele kwenye foleni tunamruhusu. Kama anataka kuvuka upande mwingine tunamruhusu.

Sasa wenye vifaa vya usafiri ndo wanashida sana. Wana roho zimejikunja kama wanavyojikunja kwenye tuusafiri twao.ukitaka kuvuka mbele yake uingie kulia atakubania.sababu utakuta ni chuki tu,ni wivu tu.

Usiombe ukatanua kidogo then uombe kuingia kushoto... Jamaa watakubania mpaka itokee ukute mtu mwingine ana gari ndo anakupisha.sijajua zaidi kwa nini wanakuwa hivyo.

Hawa ndo wakati wote wanakimbia kimbia.sijajua pia why always wapo in hurry?mbona sisi wenye magari huwa tunaendesha kwa utulivu sana? Tena taratibu maana unawaza ka usafiri kama vitz,alteza,subaru nissan n.k kakikukwangua unaweza jisikia vibaya mhusika atakavyokuomba msamaha hata kutaka piga magoti.

Katika wanaondeshaji ambao pia ni watulivu kwa toyota ni wenye VX V8 na Nissan V8 zao. Sijui zinaitwaje...mi sizifaham kwa majina hizi gari pekee za Toyota na Nissan. Ule usafiri wa hayo makampuni ndo nmefanya utafiti wa huto tuvifaa twa usafiri kama vitz,carina,subaru,alteza,ist n.k

Ni shida. Na madereva wao wengi wanafanana hata uendeshaji wao.tena unaweza kutana nato tumejaza mpaka tunataka kukaa chini halafu anayekaongoza kutembea anakaongoza kwa speed.

Sisi sasa tunaoendesha magari tunawaza why hawa watu wanakuwa na haraka muda wote?mbona sisi tunaendesha magari kwa utulivu tu.

Siri ni kuwa ukiwa na gari kubwa nzito hata moyo wako unatanuka.unakuwa huna makunyanzi. Unakuwa na amani tu.ndo maana wale madereva wakawa wanasema kuwa sisi wenye magari tunakuwa hatuna roho ya kinyongo. We share, we love we spread love.

Hii ni kisaikolojia zaidi. Tumeumbwa kujiamini na kujali wengine. Basi baada ya kupiga stories na madereva taxi nikawaambia waagize vinywaji na bites. Walikuwa saba. Mmoja ndo nliona yupo smart. Yeye aliagiza maziwa na chapati 2,sambusa na samaki. Wengine wakaagiza soda na kababu au sausage.nikachukua bill nikaaaachia 100,000 walipie na kugawana pesa ya kahawa kesho.tukaagana baada ya kuwa tumekaa karibia saa nzima.mi nikaenda zangu kula samaki kwa chapati.siyo chapati kwa samaki.hapana.samaki roast walikuwa wakubwa wawili na chapati tatu. Nikanywa na maziwa mtindi...nikalipa nikaondoka zangu.

Maisha kama huna stress una kuwa na amani sana . Sasa wewe endelea kuukunyata moto. Shauri yako. Sisi ndo tunasonga hivyo.
 
Miaka ya 2009 kigoma mjini aliibuka jamaa anajiita baba kadindile.. ulikua ukimwita tu "Baba kadindile" anakuna kichwa zinaanguka pesa kutoka kichwani..
Jamaa alikua anagawa sana pesa zake hizo za ndagu.

Sio ww kweli mkuu Kiduku lilo?
 
Njoo na mikoani mkuu tunataka watu kama wewe
 
Haahahaha we jamaa wewe, je unaamini hayo uliyoyasema? Inawezekana ila hii ni story
 
Back
Top Bottom