Ni kweli kuna Funguo inayoweza kufungua vitasa/makufuli yote?

Ugobha

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
1,060
2,383
Habari za majukumu, poleni na kazi za kulijenga taifa.

Naomba kwa atakayekuwa anafahamu sifa za funguo Malaya atusaidie maana majuzi nyumba ya mjomba kuna wezi walifungua kuanzia getini mpaka vyumba vyote vya ndani bila kuvunja tulibaki mdomo wazi.

Lakini cha kushangaza kuna mdau alisema wametumia funguo hiyo na inasemekana huwa inakuwa moja tu, sasa tupeane elimu kuhusu huo ufunguo na jinsi ya wenye uwezo wa kufungua mlango bila kuvunja.

Karibuni wajuvi
 
Sidhani kama ni kweli hii, kinachofanyika huenda wezi walishapata nakala za funguo za vitasa vyote, mfano huwa nasikiaga ikitokea mwizi akachukua funguo yako na kuibandika kwenye kipande cha sabuni anaweza pata picha ya ufunguo hapa tayari umeshakwisha. Kinachotugharimu ni kuacha gari sehemu za kuoshea magali zikiwa na funguo za nyumbani, hii ni hatari sana.
 
Master key inaweza kufungua lakini kinachofanyika
Ni uchongwaji wa funguo nyingi za kujaribu kufungua! Kufuli, lock za magari, pikipiki etc
Ila lazima kuwepo na "trial & error"
Nikitiririka zaidi huku ntawafundisha tu uwiz

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Funguka kiongozi huenda tukapata suluhisho
 
Sidhani kama ni kweli hii, kinachofanyika huenda wezi walishapata nakala za funguo za vitasa vyote, mfano huwa nasikiaga ikitokea mwizi akachukua funguo yako na kuibandika kwenye kipande cha sabuni anaweza pata picha ya ufunguo hapa tayari umeshakwisha. Kinachotugharimu ni kuacha gari sehemu za kuoshea magali zikiwa na funguo za nyumbani, hii ni hatari sana.
Acha uzumbukuku unaongea kwa kudhani "Huenda" maana yake hauna uhakika

Kuna dogo nilikutana naye usiku kwenye mabanda ya vishot namfaham ni wa mtaani alitoa funguo hio malaya na kunionyesha na kunielezea alivyokuwa anafanyia kazi huko nyuma na alinithibitishia kwa macho akichokonoa makufuli tofauti tofauti na zikifungua

Kama hujafanya tafiti huna haki ya kuongea
 
Hakuna funguo malaya ya kufungua vitasa vyote au kufuli zote, kinachofanyika ni kuchokonoa tu hivyo vi-lock na funguo mbali mbali hadi kitu kinaitika. Kuna mdau kasemea ishu ya kugandamiza funguo kwa sabuni, hiyo ni old tech, now days funguo inapigwa picha tu na jamaa wanachonga vizuri tu kwa kufuata meno ya kwenye picha. Lock smith ni shule kabisa na ina darasa pana. Pini tu au sindano zinaweza kufanya maajabu.
 
Kuna movie flani ya Wakaburu wa Sauz kipindiki kile cha vugu vugu la mandela akiwa prison jina la (mUvies sikumbuki)
Hao jamaa amin usiamini walichonga funguo za vitasa vya gerezani kutumia (Mbao hadi inafit) almost vyote kwa kuangalia tuu zile njia za Key at the end walifanikiwa kufungua milango ya gereza na kuescape na hawakuonekana tena...

Ila Tz kuna funguo 1 tu ''LISSU'' ya kumfungua magufuli.
take care..
MWisho wa kunukuu
 
Duu hao wako level nyingne hadi funguo ya mbao!
 
Hakuna funguo malaya ya kufungua vitasa vyote au kufuli zote, kinachofanyika ni kuchokonoa tu hivyo vi-lock na funguo mbali mbali hadi kitu kinaitika. Kuna mdau kasemea ishu ya kugandamiza funguo kwa sabuni, hiyo ni old tech, now days funguo inapigwa picha tu na jamaa wanachonga vizuri tu kwa kufuata meno ya kwenye picha. Lock smith ni shule kabisa na ina darasa pana. Pini tu au sindano zinaweza kufanya maajabu.
Shukrani mkurugenzi
 
Ugobha,

Yes mie nilikuwa nayo ila nilikuwa siitumii vibaya si unajua tena school za boarding, nilikuwa nasaidia kama mtu amepoteza funguo ya locker lake la darasani au trunker lake bwenini nilikuwa nawafungulia.
Una bahati manake vitu vingepotea kwenye tranka bila kuvunjwa lazima wangekudaka ww na master key yako
 
Acha uzumbukuku unaongea kwa kudhani "Huenda" maana yake hauna uhakika

Kuna dogo nilikutana naye usiku kwenye mabanda ya vishot namfaham ni wa mtaani alitoa funguo hio malaya na kunionyesha na kunielezea alivyokuwa anafanyia kazi huko nyuma na alinithibitishia kwa macho akichokonoa makufuli tofauti tofauti na zikifungua

Kama hujafanya tafiti huna haki ya kuongea
Mkuu kwani huwezi kukosoa kistaarabu?
 
Habari za majukumu, poleni na kazi za kulijenga taifa.

Naomba kwa atakayekuwa anafahamu sifa za funguo Malaya atusaidie maana majuzi nyumba ya mjomba kuna wezi walifungua kuanzia getini mpaka vyumba vyote vya ndani bila kuvunja tulibaki mdomo wazi.

Lakini cha kushangaza kuna mdau alisema wametumia funguo hiyo na inasemekana huwa inakuwa moja tu, sasa tupeane elimu kuhusu huo ufunguo na jinsi ya wenye uwezo wa kufungua mlango bila kuvunja.

Karibuni wajuvi
Ngoja wezi waje watupe uzoefu
 
Back
Top Bottom