Ni kweli kuna ajira mpya 2161 Wizara ya Afya?

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,767
Habari za wakati huu tena WanaJamvi, nitumaini langu kuwa mnaendelea salama na majukumu yenu.

Jana wakati nahangaika na Insomnia mida ya saa nane usiku nikiwa na scrow kwenye mtandao wa kijamii unaomilikiwa na Mmarekani Mark Zuckerberg nilikutana na taarifa ya Ajira Mpya.

Taarifa za uwepo Ajira Mpya nilipata kwenye ukurasa wa Mtu Mmoja anaitwa “Mkulima wa Kisasa” ambayo ilikuwa imetangazwa na Gazeti la “Fahari Yetu” linalo milikiwa na Mr. Cyprian Musiba (Kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha).

Taarifa hizi za Ajira Mpya nimezitafuta huku na kule bila mafanikio. Naomba aliye nataarifa nazo tafadhari naomba uniite maana nataka niombe nione huenda Bwana atanipa hiki ninachokihitaji wakati huu.

Gazeti husika liko hapa Chini
 
yan wewe nae unamsikiliza huyo Veronica a.k.a musiba
 
Ni taarifa tu kuwa wizara imepata kibali cha kuajiri hao watu 2161 lakini haijawekwa rasmi kwenye website watu waombe. Kwa lugha nyingine dirisha la kuomba halijafunguliwa.

Kwahiyo ni wakati wa kuandaa documents muhimu ili dirisha likifunguliwa tu uombe ( kama watatoa kweli )
 
Ahsantee sana Mkuu kwa Ufafanuzi
 
Back
Top Bottom