Ni kweli kufanya kazi za ndani ni jukumu la mwanaume?

Hawa mafeminist hawa, kuna wanachokitafuta, Sasa hii Sheria ilikuwa wapi siku zote, inamaana hata walioitunga waliisahau au!?

Mwishowe watatuambia kazi ya mwanamke baada ya kuolewa ni kupumua tu, mengine yote anayafanya mwanaume.
 
Anapotosha tu ..mume anapaswa kuitunza familia kwa kuipatia chakula..mavazi na sehemu ya kuishi/accommodation.
 
Anapotosha tu ..mume anapaswa kuitunza familia kwa kuipatia chakula..mavazi na sehemu ya kuishi/accommodation.
Hiyo sheria ibadilishwe imepitwa na wakati, ingawa sidhani kama ilishawai kutekelezwa
 
Hiyo sheria ibadilishwe imepitwa na wakati, ingawa sidhani kama ilishawai kutekelezwa
Hakika imepitwa na wakati ni ya mwaka 1971 ..mila na desturi za kipindi hicho ..Mke alikuwa ni mama wa nyumbani zaidi ..wengi hawakuwa wanajitafutia vipato binafsi ...
 
Back
Top Bottom