ni kweli Kizuri tule wote?

sikafunje.N

Member
Jul 10, 2012
86
15
Wakuu katika hali ya kawaida katika jamii yetu,
hivi kuna marafiki wanaopendana kiasi cha kushea mwenza?
i mean anafurahia huduma anayoipata kiasi cha kumualika/kumuunganisha
mwenzake? umesha kutana na hili/ukashuhudia au kulisikia????
 
Hili ni la kufikirika tu, sizani kama huna mpenzi tena unampenda ipasavyo alafu umtoe kwa best wako nae afaidi, hii ni ngumu mkuu.
 
Hili ni la kufikirika tu, sizani kama huna mpenzi tena unampenda ipasavyo alafu umtoe kwa best wako nae afaidi, hii ni ngumu mkuu.

Hilo nalo neno! sasa unamtuwako unampenda nae anadai anakupenda then anakusogezea best yake!
 
Kizuri kula na ndugu yako acheni uchoyo! Gawaneni si mmepewa bure??
 
Hilo nalo neno! sasa unamtuwako unampenda nae anadai anakupenda then anakusogezea best yake!

Kama unampenda, unamjali, unamuheshimu na kumlinda, best wake utamchukulia kama rafiki yake na shem kwako, natumai hutakuwa na matamanio kwake.
Kama best wake kaanza mwenyewe kukutamani, unatakiwa kukataa kwa nguvu zote na pia mwambie mpenzi wako ili nae afahamu tabia ya rafiki yake.
 
jamani hii ishu imetokea na ni hapa hapa Bongo... mtu anaulizwa what the meaning of this? yaani huyu si rafiki yako anajibu Yes, Ni best yangu msaidie pleeese dear!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom