Ni kweli kikwete kaoa binti wa meghji?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Wana jamvi,

Nijuzeni haya:

1. Rais Kikwete ana wake wangapi halali kwa sasa?
2. Ni kweli kaoa mtoto wa Zakia Meghji
3. Ni kweli vile vile kuwa kaoa mke "mnyalukolo" mtoto wa mmiliki wa kiwanda cha maziwa cha ASAS?
 
Inawezekana kweli kwani dini yake ambayo ameamua kuipigania kwa gharama yoyote inamruhusu kuoa hata wake 50.............kwani salma anajua?...angalieni asije akapasuka moyo mkiwataja na mkija na details zote
 
Wana jamvi,

Nijuzeni haya:

1. Rais Kikwete ana wake wangapi halali kwa sasa?
2. Ni kweli kaoa mtoto wa Zakia Meghji
3. Ni kweli vile vile kuwa kaoa mke "mnyalukolo" mtoto wa mmiliki wa kiwanda cha maziwa cha ASAS?


Sofia Simba and Daughters ni wake zake.

Malaria Sugu and Sons ni wake zake.

Zakhia Meghji and Daughters ni wake zake.

VK ni ........................

Salma ni mke wake.

Hizo ndiyo data nilizo nazo.
 
Inawezekana kweli kwani dini yake ambayo ameamua kuipigania kwa gharama yoyote inamruhusu kuoa hata wake 50.............kwani salma anajua?...angalieni asije akapasuka moyo mkiwataja na mkija na details zote

Mlishazoea kuona wanaonewa, sasa na wao wamepata mkombozi... Utajiju lazima apiganie dini yake!!!!!!!!!!!!!1
 
kwani padri huyo? Anaweza kuoa wanne. Lkn nyinyi mapadri mnatakiwa msioe lkn manakazania kuoa, wengine mnabaka kabisa.

Mkuu hivi lazima uconnect kila post na upadre? Si ungeanshisha tu thread? Badala ya kujibu swali we unahangaika na mapadre. Lini utakuwa mtu mzima?
 
Too personal to be discussed.
Haina tija

He is our President. Hence, he has to show good ways in his doings. We must discuss him whether you like or not. What about Dr. Slaa scandal was it not too personal?? Yet CCM raised their voices to humiliate him during presidentail compaigns.
 
Topic inasema "Ni kweli kikwete kaoa binti wa meghji?"
Hii idio inatakiwa kujibiwa, mengine yote hayatamsaidia muuliza swali.
Hata mimi nasikiasikia tetesi hizo, na hata alipomteua kuwa mbunge kuna watu walisema kamteua mama mkwe!
 
Mbaya zaidi wanalawiti watoto...
Hizi imani nyingine bwana full magumashi!


Ndugu yangu hakuna kuliko salama! MADRASA USISEME AU ASIKWAMBIE MTU! KAMA WATOTO WAKO WANAENDA HUKO KWISHNEI!!! Kwa hiyo hayo mambo tuyaache tu kama yalivyo kote kumeoza!!!!!!! Ustaadh!!
 
Kama ni mke namfahamu Salma, lakini vimada ndio nawafahamu wengi Vicky Kamata, Rubani Air precission, Waiter moja alikuwa Kempiski ghafla leo nasikia yupo moja ya ofisi za ubalozi, hawa ni wale nilio na uhakika nao habari ambazo zijazithibitisha kibao ambazo nna kila sababu za kuamini kama siku ya malaria haikubaliki nasikia alikwenda kumega Ray C
 
ya dini tuwaachie wenye dini na ya jf yaachiwe wana jf,tuelekeapo ni kubaya,tutaishia kupigana kwa ajili ya dini,hebu tuendelee na mada ya mhusika,nadhani haiongelei mambo ya dini kama wengine wanavyojadili hapa

kuhusu hilo mi sijui ila najuwa riziwani ni wa pembeni na ni haki yake kwani anaruhusiwa kufanya hivyo ni uhuru wa mtu,kama kina zuma SA

MAPINDUZIIIIII DAIMAAAAA
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom