Ni kweli Kikwete kaenda Sauzi kusherekea BD ya Madiba?

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
53
Jamani nimeckia Mkuu wa nchi kaenda kumpiga tafuu Madiba kwenye sherehe yake (Madiba) ya kuzaliwa...NI KWELI AU??
 
Jamani! Mnaanzisha thread kwa subject kama hizi, halafu topics za maana zinapigwa marufuku??!
 
Kwani hujua huyo jamaa kwa minuso,misiba na maulidi, ndo zake
 
Mwaka jana alihudhuria tamasha la reggae Jamaica! Akaenda kubebembea kwenye skyline! Sasa uanfiri Birthday ya MADIBA itamkosa? anasingizia ziara ya kiserikali!Miaka hii kumi turekodi "maumivU'
 
Hapana amekwenda RSA kwa ziara ya kiofisi na atakutana na Jacob Zuma kujadilli economic development btw the two countries, kama itatokea akapita kwenye birhday ni by the way tu.
 
Vyombo vya habari vya Afrika kusini vimetangaza kwamba ingawa Rais Kikwete amekuwa madarakani kama rais tangu mwaka 2005, ziara ya sasa itakuwa ya kwanza ya kiserikali. Imeelezwa pia ingawa Rais Kikwete ameshatembelea Afrika kusini mara nyingi, lakini hizo hazikuwa ziara za kiserikali kutembelea rasmi Afrika Kusini. Baadhi ya ziara zilikuwa kwa ajili ya kuhudhuria mikutano ya kimataifa nk. Imeripotiwa kwamba Rais ameongozana na ujumbe mzito wa Serikali na baadhi ya wafanya biashara kwa ajili ya kukuza mahusiano ya kisiasa na kiuchumi. Haikusemwa juu ya Rais Kikwete kuhudhuria birthday ya Madiba, kama ambavyo Cameron alisema neno la kumtakia kila la heri Madiba alipokuwa ziarani Afrika Kusini.
 
teh teh teh ...wabongo mwaka huu imekula kwenu...kwikwikwi amewaacha solemba na mashida yenu ya maji na umeme,mwacheni ****** wa watu akajilie maraha yake Jo'burg na wasouth mwanawane..tehtehteh mtakoma kuringa mkipewa kanga na pilau mnasahau matatizo yenu ya kudumu....kwikwikwi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom