Ni kweli kabisa Dua la Kuku halimpati Mwewe lakini naomba Simba wapoteze mechi ya leo CCM Kirumba

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,205
4,695
Wadau wa JF

Najua kuwa Dua la kuku halimpati Mwewe kwa mujibu wa wahenga

Hata hivyo pamoja nakutambua ukweli huo bado naombea sana
Klabu ya Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba Mwanza

Wananiunga mkono karibuni tuunganishe nguvu mnyama apate anachostahili
 
acha uwendawazimu simba kushinda ndiko kunafanya club zingine zipambane kumkimbia myama na kwa kupitia kupambana kwao huko ndiko tunaenjoy ladha ya mpira na ligi inakuwa tamu sio mtu mnapishana point 15 mpaka inafikia wakati mwingine kocha anaamua kumpanga beki kuwa mshambuliaji au winga
 
sawa utopolo umeeleweka kwa unacho kitaka ngoja tuone wekundu wa msimbazi kama watakusikiliza
 
Watu wengine huwa tunakufa vifo ambavyo siyo vyetu,

Ni sababu tu ya roho mbaya, hivi kwa mfano mleta mada Simba ikishinda Leo siku yake tayari imeharibika, utasikia mtu mmoja kafa kwa shinikizo la damu kumbe shinikizo la roho mbaya.

Natania tu jamani tusitafutane.
 
Wadau wa JF

Najua kuwa Dua la kuku halimpati Mwewe kwa mujibu wa wahenga

Hata hivyo pamoja nakutambua ukweli huo bado naombea sana
Klabu ya Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba Mwanza

Wananiunga mkono karibuni tuunganishe nguvu mnyama apate anachostahili
Anachostahili mnyama ni kutafuna nyama tu, msiotaka kunyweni sumu ya panya mfe tu hakuna jinsi nyingine

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kumbe wewe mwenyewe kuku.. 🤣🤣🤣🤣 kweli halimpati mwewe
 
Wadau wa JF
Najua kuwa Dua la kuku halimpati Mwewe kwa mujibu wa wahenga. Hata hivyo pamoja nakutambua ukweli huo bado naombea sana. Klabu ya Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba Mwanza. Wananiunga mkono karibuni tuunganishe nguvu mnyama apate anachostahili
Sawa
 
Wadau wa JF

Najua kuwa Dua la kuku halimpati Mwewe kwa mujibu wa wahenga

Hata hivyo pamoja nakutambua ukweli huo bado naombea sana
Klabu ya Simba ipoteze mechi ya leo pale CCM Kirumba Mwanza

Wananiunga mkono karibuni tuunganishe nguvu mnyama apate anachostahili
Dua yako imejibiwa vizuri(kujibiwa sio lazima kukubaliwa). Lunyasi (Mnyama) kapata anachostahili. USHINDI
 
Back
Top Bottom