Ni kweli jidula mbabasi hatunaye...? RIP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli jidula mbabasi hatunaye...? RIP

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mauza uza, Aug 6, 2010.

 1. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,982
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Kuna habari zimezidodosa kutoka kwa blog ya Mroki zikidai yule kijana machachari aliemuengua Mzee Mapesa kwenye uongozi wake Amani Nzugile JidulaMbabasi amefariki dunia.Wenye data na habari zaidi tunaomba mtujuze sie tulioko mbali.RIP.
   
Loading...