Ni kweli jeshi letu la polisi ni la kikoloni ndiyo maana wanavaa makombati kama ya ...... - sugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli jeshi letu la polisi ni la kikoloni ndiyo maana wanavaa makombati kama ya ...... - sugu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbugi, Jul 29, 2011.

 1. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hivi karibuni wa mheshimiwa mr ii amekaririwa akifananisha jeshi letu la polisi na lile la mkoloni hasa kwa makombati wanayovaa, na amesema walistahili kuvaa kwa mfano wa dactari, air hostess, nk;
   
 2. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Teh teh teheeeeeeeee! Hata elimu waangaliwe vizuri kabla ya kuajiriwa nafikiri hata mafunzo wanayopewa ni dhaifu, inabidi wafundishwe namna ya kuhendo watuhumiwa kwa kutumia akili na sio nguvu zinazosababisha uharibifu wa mali. Pia sheria iangaliwe maana polisi wanauwa raia kwa risasi za moto halafu wanajeshi wapo kimya kabisa, eti nchi ina amani, upuuzi mtupu.
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,803
  Likes Received: 2,576
  Trophy Points: 280
  Muhimu kuikumbusha serekali ya ccm of "oppresive boot and irrelevance of the colour of foot that wears it"
   
Loading...