Ni kweli HESLB hawatoi mkopo kwa Equivalent applicants?

Bukijo

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
208
71
Wadau naombeni kuuliza kama kuna mtu yeyote aliyeomba bodi kupitia equivalent na jina lake limetolewa kua amepata au amekosa make mwenzenu jina langu halionekani kotekote.
Sijui kama ntapata au ndo nimeshakosa.Cha ajabu zaidi hadi chuo nilichoomba hawajatoa majina had sasa,matumaini na ndoto yangu inazidi kufifia!.Nisaidie mwenzenu!

Najua hua wanatoa mikopo ila kama umepata zaid ya gpa ya 3.5 ya diploma, ila chuo ulichosoma ndo wanatakiwa wapeleke majina bodi. Ninaye bro angu amepata mkopo mwaka jana na ye ni equivalent.

Kuna jamaa yangu amewapigia cm bodi kaambiwa mwaka huu Equivalent hawapati mkopo.

Pesa za matumizi wamemaliza, mnategemea watawapa kwa pesa gani? Ukienda ktk web yaona utaona picha fulani wamepiga..ukiiangalia kwa umakini utagundua kuwa jamaa wameishiwa pesa, maana backgrnd yake ipo choka mbaya. Hata jengo chakavu, pesa yote yamewapa wanafunzi. Duh! Poleni. Labda wanaweza wakawafikiria.

wamesema hawatoi mkopo kwa equivalent labda kama ungekua unaenda kusomea ualimu...nimeamini rungu la serikali linaweza kulostisha waziwazi...Nawaonea huruma waliomaliza diploma mwaka jana wakasema wacha nipumzike mwaka mmoja,wacha nitafute kwanza kazi kidogo nifanye nitaunga chuo mwakani...imekula mazima full manyoya

Jana nilikuwa HESLB nikawauliza, wanadai kuwa TCU haijapeleka majina ya equivalent, so jaribuni kuomba tena mwakani>

Naskia kwa mwaka huu hawatoi
Wadau naombeni kuuliza kama kuna mtu yeyote aliyeomba bodi kupitia equivalent na jina lake limetolewa kua amepata au amekosa make mwenzenu jina langu halionekani kotekote.

Sijui kama ntapata au ndo nimeshakosa.Cha ajabu zaidi hadi chuo nilichoomba hawajatoa majina had sasa,matumaini na ndoto yangu inazidi kufifia!.Nisaidie mwenenu!

We unasema mwaka jana????MWAKA HUU HAWATOI
Najua hua wanatoa mikopo ila kama umepata zaid ya gpa ya 3.5 ya diploma, ila chuo ulichosoma ndo wanatakiwa wapeleke majina bodi. Ninaye bro angu amepata mkopo mwaka jana na ye ni equivalent.

Wadau naombeni kuuliza kama kuna mtu yeyote aliyeomba bodi kupitia equivalent na jina lake limetolewa kua amepata au amekosa make mwenzenu jina langu halionekani kotekote.
Sijui kama ntapata au ndo nimeshakosa.Cha ajabu zaidi hadi chuo nilichoomba hawajatoa majina had sasa,matumaini na ndoto yangu inazidi kufifia!.Nisaidie mwenenu!

Subiria karibia na kipindi cha uchaguzi 2015 utapata kipindi kama hicho magamba huwa wanalegeza masharti

Jana nilikuwa HESLB nikawauliza, wanadai kuwa TCU haijapeleka majina ya equivalent, so jaribuni kuomba tena mwakani>

lakini wenye uquivalent huwa hawaaply tcu wana apply vyuoni na kwann hawa mmbwa hawajapeleka majina

nafikiri system ya tcu haiwezi kuchagua wanafunzi wa equivalent,so ni jukumu la chuo husika kupeleka majina ya wanafunzi wa equivalent,wakisema hawasomeshi equivalent chuo kama dit itakuwaje?maana 75% ya wanaosoma pale in ftc au diploma!

lakini wenye uquivalent huwa hawaaply tcu wana apply vyuoni na kwann hawa mmbwa hawajapeleka majina
Hapo penye nyekundu,mkuu kwakweli hilo jina naliunga mkono!
Make sisi wa equivalent tuliomba mapema mno hata kabla ya form six kumaliza mitihani yao,cha ajabu baadhi ya vyuo wako kimya hawataki kutoa majina sijui wanasubiri nn hao mm...b..a?!.Yaan sometime mtu unakua na hasira ambayo inaweza kufanya mtu kujitoa mhanga bila kutarajia!

Back
Top Bottom