Ni kweli hawa ni Watanzania wa kweli au ...

Unashangaa wahindi. Kuna wasomali kibao hata kiswahili hawajui. Kutembea wao ni usiku tu.
 
Pole sana kijana lakini hata mimi ninaye babu yangu hawezi kuongea kiswahili huwa anaongea kikurya muda wote je naye tumnyang'anye uraia au tuseme si mtanzania maana hajui kuongea lugha ya kitanzania?
 
Watanzania wote ni sawa tusibague mtu kwa sababu eti ni racist kwa wao ni mfumo wa maisha hata kwao ni hivyo hivyo hata UK mwenye elimu hawezi kuoa mtoto wa mwenye corner shop, kama ni kuongea kiswahili iwe lazima hapa kuna makabila hayaongei kabisa zaidi ya lugha yao, hata wayahudi huwa wanajitenga na kufanya mambo yao lakini wanakubaliwa kuishi kwa mila na dini yao kwa mfano UK wayahudi siku yao ni jumamosi hawafanyi kazi even to operate pedestrian crossing lights kwa hiyo traffic inabidi asimamishe magari ili wapite sasa fikiria hilo kuwa wanafanya kazi na kuongeza uchumi wa nchi. UK wameamua watu waingie mtihani wa kiingereza unapoomba uraia ni kuwa wa integrate na maisha na kujua sheria zote na sio vingine. Tuishi kwa amani hakuna nchi isiyokuwa na foreigners duniani la sivyo tusingejua biriani na UK wasingeijua pizza
 
Mimi Kimbembe
Leo nimekuja na hoja nzito inaweza kutugawa ama kusema no Kimbembe wewe mbaguzi lakini ni kweli kwamba nina haki ya kusema mawazo yangu na kusikia maoni yako. Mwa muda wa miaka 40 na zaidi ya Uhuru wa Tanzania tuan Watanzania wazalendo kama mimi na wewe na wazawa pia lakini pia tuna Watanzania wa uraia wa kununua ama kuomba .

Hawa wengi ni wahindi . Wahindi hawa wengi wanasema wamezaliwa Tanzania katika mikoa tofauti lakini wamekuwa muda wote wanaishi kama first class citizens.Wahindi hawa ama wahamiaji hawa hawana heshima na mtu mweusi mwenye Nchi yake .Soscial life yao imejengewa mipaka kwamba huwezi kuwakuta wako na Watanzania weusi wakila na kunywa , kucheka na kuolewa na ama kuoa hapana .

Mimi kwa muda nimekuwa najiuliza hawa watanzania wana shule zao na bado wana tutumikisha sisi Watanzania weusi wenye nchi yetu.Bado hawa wahindi ndiyo wanao ongoza kwa rushwa na kuungwa mkono na watanzania weusi yaani sisi wenye Nchi ambao hatukuomba ial Tanzania na Africa ni yetu .

Sisi ni wakarimu tunawapa hata Ubunge nk , ila wao hata misikiti yao ni yao na si zaidi ya hapo . Kibaya zaidi ni kwamba hata lugha ya Tanzania wengi hawaijui kabisaaaaa. Wao lugha yao ni Kiingereza na maneno machache ya kiswahil . Kuna Mtanzania Mhindi anafanaya kazi na daily News nadhani yuko Arusha huyu kwa miaka yote hii kukaa na hata kufanya kazi na gazeti la serikali lakini ukiseme naye baada habari , jambo asante mengine anasema hajui Kiswahili .

Je tuanze kuwapa mitihani ya Kiswahili wageni hawa na watanzania wa aina kabla hawajapewa Uraia wa Tanzania ?Maana kama u Mtanzania na hujui Kitanzania yaani Kiswahili sasa wewe ni Mtanzania wa aina gani ?

Naomba nitoe hoja .

Nakubaliana na wewe Mkuu,,,hayo uliyoaleza ni kweli kabisa,kuna tafauti kubwa kati ya wahindi na warabu ijapokuwa hawa wote ni wahamiaji mababu na mabibi zao walikuja Tanaznia zaidi ya miaka 300 iliyopita,ijapokuwa wote ni watanzania tafauti iliyopo warabu wanachanganyika na watu wa kabila nyengine lakini sio wahindi

Wahindi hawajisiki kama wao ni moja katika jamii ya kitanzania,binafsi naona kama mtu hataki kuchangangia au kujiona kuwa yeye ni bora kuliko watanzania wengine,mtu au kikundi cha watu hao hawafai kupewa hadhi ya kuwa mtanzania

nashanaa ile mikoa yenye wabunge wahindi.najiukiza hawa watanzania wamekuwa na akili gani mpaka wakawachagua wahindi kuwa wabunge wao,utamchaguaje mtu hawezi hata kukaa meza moja na wewe kula ugari kwasababu anaona kukaa na mwafrika ni kinyaa au uchafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom