Ni kweli Harmonize anadaiwa Kodi Na Eng. Usiri

Wakuu lem declare interest Kwamba mimi ni sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.

Msanii Hrmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.

Hata Wakili wake Amekuwa Hataki Kupokea any documents Ambayo inayohusiana na Rent dispute ya Mteja wake.View attachment 1940747
Em we na mjomba ako mtudadavulie milioni150 inavyosemekana ankoli wako ndo anadai,kodi ya nyumba ilikuwa sh ngapi na hakulipa kodi kwa mda gani kufikia deni hilo?
 
Ukiwapangisha wasanii wa kibongo nyumba yako,hesabu maumivu
Maana ni kero

Ova
Hujadanganya kuna mwaka nilipangishaga wachezaji wa Simba na walikuwa wanalipiwa na club yao nilikoma,nikajichanganya tena kwa wajeda nilijuta hahahahaha!
 
Back
Top Bottom