Ni kweli hakuna Mwana-CCM anayeweza kujiongeza kidogo??

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,489
86,005
Sijatuhumu Bali nimeuliza! Inawezekanaje hakuna hata mwana-CCM mmoja aliyekosea kujaza form na hakuna hata mpinzani mmoja "aliyeweza kujaza form vizuri"??

Kwa mazingira ya kawaida, wangeweza kuweka hata wagombea wa upinzani ili " kuhalalisha" wizi wao. Sasa walichofanya wao ni uporaji! Like, who will question? Yaani wanadhani uchaguzi utaishia bongo tu!

Hata binti yangu Namkunda ameshindwa kuelewa kimetokea nini! Hebu ajitokeze mwana CCM mwenye akili kidogo awakumbushe kuwa huu ni ujinga Na sio figisu za uchaguzi kama alivyozihalalisha Jafo.
 
Hivi Jaffo ni mzima kweli ?
 
Si wametuona watanzania maboya..kadri miaka inavyozidi tunazidi kuwa mamisukule zaidi...!mamisukule ya mwandulami😂🙌
Tushukuru elimu kwa kila mtoto maana wengi wamemaliza form four lakini wachache wanaweza kusoma, kuandika na kujieleza. Kitadumu sana Chukua Chako Mapema!
 
Nilifikiri ni huku kwetu tu,kumbe na kwenu Wameandikiwa makosa ya kiuandishi.
 
Labda kitu usichokijua...uongozi ndani ya chama cha CCM ni ajira rasmi na kuna watu wanawajibika kutokana na nafasi zao.

Sasa ikatokea mgombea akapeleka form ina mapungufu Mkuu nakwambia kuna kiongozi hapo atawajibika.

Sasa kwa wenzetu upande wa pili kiongozi wa chini ni kiongozi wa chama wa wilaya sasa huyu ndio akashughulike na maform yote ya wagombea ngazi za chini huko ni kitu haiwezekani.Sass ndio unakuta mtu anajaza form kwa utashi wake na kusababisha makosa ya wazi.
 
Kwahio kote nchini hakuna mpinzani hata mmoja anayejua?? Kwahio wakafundishwa kufunga ofisi Na kukimbia???
Labda kitu usichokijua...uongozi ndani ya chama cha CCM ni ajira rasmi na kuna watu wanawajibika kutokana na nafasi zao.

Sasa ikatokea mgombea akapeleka form ina mapungufu Mkuu nakwambia kuna kiongozi hapo atawajibika.

Sasa kwa wenzetu upande wa pili kiongozi wa chini ni kiongozi wa chama wa wilaya sasa huyu ndio akashughulike na maform yote ya wagombea ngazi za chini huko ni kitu haiwezekani.Sass ndio unakuta mtu anajaza form kwa utashi wake na kusababisha makosa ya wazi.
 
Baba Namkunda
Nimependa jina, hayo ya maciciem nawaachia hao mapo.yoyo.
 
Labda kitu usichokijua...uongozi ndani ya chama cha CCM ni ajira rasmi na kuna watu wanawajibika kutokana na nafasi zao.

Sasa ikatokea mgombea akapeleka form ina mapungufu Mkuu nakwambia kuna kiongozi hapo atawajibika.

Sasa kwa wenzetu upande wa pili kiongozi wa chini ni kiongozi wa chama wa wilaya sasa huyu ndio akashughulike na maform yote ya wagombea ngazi za chini huko ni kitu haiwezekani.Sass ndio unakuta mtu anajaza form kwa utashi wake na kusababisha makosa ya wazi.
Natamani wangekuelewa
 
.
Sisi hemuu hoyeeee !!!
IMG-20191105-WA0075.jpeg
 
Back
Top Bottom