Ifahamu Ndege ya Pan american iliyopotea na kuonekana baada ya miaka 37 Abiria wake wakiwa hai

Dear Sheillah,
Hii habari sio ya kweli kwa sababu zifuatazo,
1. Hiyo Pan Am "914" haikuwahi kuwepo.
2. "Kama ingetokea" lazima pangekuwa na video, ila hamna hata security camera kwenye hiyo airport?.
3. Kiuhalisia hiki kitu hakipo na hakitakaa kitokee.
Ina maana hiyo ndege ni ndege ya kufikirika tu? Duh
 
Kuna watu wa Mungu pia walijilaza kwenye pango Ili kujificha na maadui wao,wakaja kuamka miaka 300 baadae wakiwa vijana vile vile km walivyolala,wanaenda mjini wanashangaa kuona mji umebadilika,pesa zimebadilika na walipojieleza wanasema waliingia kwenye pango wakalala fofofo,na wao wanasema walilala ucngiz mzito wa cku moja tu kumbe ni miaka 300 wamelala,so vitu km hiv kwa uwezo wa Mungu bana vinawezekana
Mkuu hiyo ilitokea wapi?
 
Ni sawa na ile moja ya kijana aliekuwa anasafisha sky scraper akapigwa risasi toka moja ya madirisha kumbe alipgwa na baba yake kama nakumbuka Vema, nayo ni fictional lakin watu wanaisimuliaga kama kweli. Had ndugu Yericko Nyerere aliwahi tumwagia hapa JF na page zake insta kama tukio la kweli
Hii siijui.
Lakini watu kusimuliana kama kweli haiifanyi iwe kweli.
 
Sasa walikuwa hawashangai kukutana na watu wamelala. 😀
Umeuliza swali la uongo, na inaonekana hukijui hicho kisa.

Soma kuhusu kisa hicho na ujue ni kwa sababu gani walikaa miaka 300 na ziada ya miaka 9.

Anasema Allah aliye juu :

Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu?

10. Vijana hao walipo kimbilia kwenye pango walisema: Mola wetu Mlezi! Tupe rehema itokayo kwako, na tutengezee uwongofu katika jambo letu.

11. Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa.

12. Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa.

13. Sisi tunakusimulia khabari zao kwa kweli. Hakika wao walikuwa ni vijana walio muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu.

14. Na tukazitia nguvu nyoyo zao walipo simama na wakasema: Mola wetu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi. Hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni Mungu. Hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.

15. Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye. Kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri? Na nani aliye dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu?

16. Na mkijitenga nao na vile wanavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu, basi kimbilieni pangoni, akufungulieni Mola wenu Mlezi rehema yake, na akutengenezeeni ya kukufaeni katika mambo yenu.

17. Na unaliona jua linapo chomoza linainamia kuliani mwao kutoka hapo pangoni; na linapo kuchwa linawakwepa kushotoni, na wao wamo katika uwazi wa pango. Hizo ni katika ishara za Mwenyezi Mungu. Ambaye Mwenyezi Mungu anamwongoa basi huyo ni mwenye kuongoka. Na anaye muacha kupotea basi hutampatia mlinzi wala mwongozi.

18. Nawe utawadhania wamacho, na hali wamelala. Nasi tunawageuza kulia na kushoto. Na mbwa wao amenyoosha miguu yake ya mbele kizingitini. Kama ungeli watokea hapana shaka ungeli geuka kuwakimbia, nawe umejaa khofu.

19. Na kwa namna hii tuliwainua usingizini wapate kuulizana wao kwa wao. Alisema msemaji katika wao: Mmekaa muda gani? Wakasema: Tumekaa siku moja au sehemu ya siku. Wakasema: Mola wenu Mlezi anajua zaidi muda mlio kaa. Hebu mtumeni mmoja wenu na hizi fedha zenu ende mjini, akatazame chakula chake kipi kilicho bora kabisa akuleteeni cha kukila. Naye afanye mambo hayo kwa busara, wala asikutajeni kabisa kwa yeyote. (al Kahf : 9 - 19 )

Ahsante.
 
Kuna watu wa Mungu pia walijilaza kwenye pango Ili kujificha na maadui wao,wakaja kuamka miaka 300 baadae wakiwa vijana vile vile km walivyolala,wanaenda mjini wanashangaa kuona mji umebadilika,pesa zimebadilika na walipojieleza wanasema waliingia kwenye pango wakalala fofofo,na wao wanasema walilala ucngiz mzito wa cku moja tu kumbe ni miaka 300 wamelala,so vitu km hiv kwa uwezo wa Mungu bana vinawezekana
Nimekupata maalim
 
Umeuliza swali la uongo, na inaonekana hukijui hicho kisa.

Soma kuhusu kisa hicho na ujue ni kwa sababu gani walikaa miaka 300 na ziada ya miaka 9.

Anasema Allah aliye juu :

Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu?

10. Vijana hao walipo kimbilia kwenye pango walisema: Mola wetu Mlezi! Tupe rehema itokayo kwako, na tutengezee uwongofu katika jambo letu.

11. Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa.

12. Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa.

13. Sisi tunakusimulia khabari zao kwa kweli. Hakika wao walikuwa ni vijana walio muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu.

14. Na tukazitia nguvu nyoyo zao walipo simama na wakasema: Mola wetu Mlezi ni Mola Mlezi wa mbingu na ardhi. Hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni Mungu. Hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.

15. Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye. Kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri? Na nani aliye dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu?

16. Na mkijitenga nao na vile wanavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu, basi kimbilieni pangoni, akufungulieni Mola wenu Mlezi rehema yake, na akutengenezeeni ya kukufaeni katika mambo yenu.

17. Na unaliona jua linapo chomoza linainamia kuliani mwao kutoka hapo pangoni; na linapo kuchwa linawakwepa kushotoni, na wao wamo katika uwazi wa pango. Hizo ni katika ishara za Mwenyezi Mungu. Ambaye Mwenyezi Mungu anamwongoa basi huyo ni mwenye kuongoka. Na anaye muacha kupotea basi hutampatia mlinzi wala mwongozi.

18. Nawe utawadhania wamacho, na hali wamelala. Nasi tunawageuza kulia na kushoto. Na mbwa wao amenyoosha miguu yake ya mbele kizingitini. Kama ungeli watokea hapana shaka ungeli geuka kuwakimbia, nawe umejaa khofu.

19. Na kwa namna hii tuliwainua usingizini wapate kuulizana wao kwa wao. Alisema msemaji katika wao: Mmekaa muda gani? Wakasema: Tumekaa siku moja au sehemu ya siku. Wakasema: Mola wenu Mlezi anajua zaidi muda mlio kaa. Hebu mtumeni mmoja wenu na hizi fedha zenu ende mjini, akatazame chakula chake kipi kilicho bora kabisa akuleteeni cha kukila. Naye afanye mambo hayo kwa busara, wala asikutajeni kabisa kwa yeyote. (al Kahf : 9 - 19 )

Ahsante.
😀Haya..

😇😇
 
Habari!

Leo naangalia series ya Manifest. Ambayo inahusisha ndege ambayo ilipaa na kuja kutua miaka kadhaa mbele. Huku waliokuwepo kwenye ndege wakiona wametua muda sahihi.

Nikakumbuka kuna habari kuhusu Ndege ya Pan American 914 ambayo ilipotea mwaka 1955 na kisha kuja kutua miaka 37 mbele kisha ikapaa tena na kutoweka hadi leo.

Hii imenifikirisha sana. Je, ni kweli au ni conspiracy theory kama nyingine?
Una miaka mingapi ya kuzaliwa?
 
Back
Top Bottom