I mean na sifa.Wadau hii imekaaje habari zinazosambaa kuwa diamond kampachika mimba tunda ni za kweli ? Na huyu msanii naona ss anapotea kuzazaa hovyo sio uanaume hata kama Una hela ya kuwatunza kwanza hao wanawake naona hakuna mapenzi hapo zaidi ya masilahi na sofa.
Naona umemtuhumu na kumhukumu moja kwa moja.. Sometimes maisha ya wengine tusiyafanye ndio mada Kwenye maisha yetu, tutaishia kufa na umaskini huku wale tunaowajadili kila siku wakizidi kupetaWadau, hii imekaaje?
Habari zinazosambaa kuwa Diamond kampachika mimba Tunda ni za kweli? Na huyu msanii naona sasa anapotea na kuzazaa hovyo sio uanaume.
Hata kama una hela ya kuwatunza kwanza hao wanawake naona hakuna mapenzi hapo zaidi ya masilahi na sofa.