Ni kweli Diamond anamkula Tunda?

murume

Member
Sep 14, 2013
89
79
Wadau, hii imekaaje?

Habari zinazosambaa kuwa Diamond kampachika mimba Tunda ni za kweli? Na huyu msanii naona sasa anapotea na kuzazaa hovyo sio uanaume.

Hata kama una hela ya kuwatunza kwanza hao wanawake naona hakuna mapenzi hapo zaidi ya masilahi na sofa.
 
Wadau hii imekaaje habari zinazosambaa kuwa diamond kampachika mimba tunda ni za kweli ? Na huyu msanii naona ss anapotea kuzazaa hovyo sio uanaume hata kama Una hela ya kuwatunza kwanza hao wanawake naona hakuna mapenzi hapo zaidi ya masilahi na sofa.
I mean na sifa.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Wewe umesikia, halafu hapo hapo ukatoa hukumu na lawama juu.

Bora haukuwa Hakimu asee. Endelea kuchuuza viwalo boss
 
Huyu jamaa hatumii condom?kweli?sielewi imekaaje hii maana alimpa mimba sijui wema ikatoka,akampa hamissa kuna mwanafunzi alisemaga pia amepewa mimba sasa na huyu Tunda naye dah.
 
fresh tu, kama anawatunza na wao wanajitegegesha ye afanyaje, ndio wakati wake huu, ukumbuke kuwa huyu jamaa kabla hajawa superstaa alikuwa anapiga nyeto, sasa mwache awakamue tu
 
Huyu jamaa ni jasiri kweli kuuza mechi kwa malaya kama Tunda, Zari, Mobeto,Wema,Peni,nk inahitaji roho ngumu
 
Hebu tujadi maswala ya msingi yanayotuhusu. Tuache kujadili maisha ya mtu. Yanatusaidia nini? Pambana na hali yako
 
Wadau, hii imekaaje?

Habari zinazosambaa kuwa Diamond kampachika mimba Tunda ni za kweli? Na huyu msanii naona sasa anapotea na kuzazaa hovyo sio uanaume.

Hata kama una hela ya kuwatunza kwanza hao wanawake naona hakuna mapenzi hapo zaidi ya masilahi na sofa.
Naona umemtuhumu na kumhukumu moja kwa moja.. Sometimes maisha ya wengine tusiyafanye ndio mada Kwenye maisha yetu, tutaishia kufa na umaskini huku wale tunaowajadili kila siku wakizidi kupeta
 
Back
Top Bottom