Ni kweli dawa za uzazi wa mpango zina madhara?

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
314
552
Habari..!!?.

Ni hivi..
Inasemwa ya kwamba dawa za uzazi wa mpango za kizungu zina madhara makubwa kwa watumiaji.
Je kuna ukweli wowote katika hili??
Wanajavi tupeane elimu juu ya hili tafadhali..
 
Zina madhara Ndio lakini ndo hivyo kuzaa kila mwaka inahitaji uvumilivu
 
hao wazee wetu hawakuzitumia ila mbona wamezaa kwa mpango?
Sio wazee wote wamezaa kwa mpango na mpk sasa wapo wasiotumia hizi panga uzazi na wanazaa kwa mpango tupo tofauti katika homoni ujue Hilo

Kuna wanawake ambao akizaa haoni siku zake mpk pale atakapoachisha mtoto kunyonya hapa sasa ndo unapopata kundi la wazee ulosema

Kuna kina sie sasa umezaa leo baada ya wiki tatu au mwezi unaanza ratiba ya breed kama kawaida
hao wazee wetu hawakuzitumia ila mbona wamezaa kwa mpango?
 
niliona kipindi TV ya Channel 10 wengi wa wachangiaji wanalalamikia... kuchelewa kutokupata mimba...tofauti na mimba za awali; Kabla hawajaanza kutumia hivyo vidonge vya uzazi

ulikuwepo mkanganyiko na ubabaishaji wa kutoa majibu yanayokidhi,kueleza tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom