Ni kweli chadema inafadhiliwa na ujerumani kugomea muswaada wa katiba mpya na kuleta vurugu?

Nyie CHADEMA lazima mtashutumiwa hvyo kwa sababu habari za yule Kameroun mlikaa kimya!!!!!!
Kama kweli mna mabwana zenu Ulaya,msituletee masuala ya kis*ng* hapa!!!!!!!
 
Wadau kuna mbunge wa Mtera kupitia CCM naona anafoka hapa bungeni na kutoa povu kwamba CHADEMA wanafadhiliwa na Ujerumani ili kupinga muswaada wa katiba mpya na kusababisha machafuko katika nchi hii. Naona huu kama uzushi usio kifani ambao una namna ya udaku fulani hivi! Na kama ni kweli basi kuna tatizo hapa! Vinginevyo hapa kuna umuhimu wa kuiomba serikali ya Ujerumani ilitolee ufafanuzi suala hili au huyu mbunge afute kauli yake.

kiukweli hamkwepi kabisa msaada wa ujerumani kwa cdm ni wazi na hasa chama christian democratic ndio mabwana wa cdm tukiongezea na shoga cameroon ni marafiki wakaribu wa mbowe/cameroon ni patner ktk ushoga wao
 
Serikali ya Ujerumani kupitia ubalozi wao hapa nchini, walazimishe wizara ya mambo ya nje kutoa ufafanuzi wa taarifa ya Lusinde aliyoirudia zaidi ya mara mbili, kuwa Ujerumani wanafadhili cdm kuleta machafuko hapa nchini.
 
mi nawashauri wabunge wa chadema wasililize kwa makini sana kauli na shutuma zinazotolewa na wabunge wa ccm then warudi kwa wananch kutufafanulia, NAJUA UONGO MWINGI UNAONGELEWA NA WABUNGE WA CCM ILI CHADEMA WAONEKANE WABAYA, CHADEMA WAJITAHIDI SANA KUWA WAKWELI KWA WANANCHI ILI KUWAUMBUA CCM.

Hii kazi ya kufafanua haitakaa iishe, kama anataka kujifurahisha yule mgogo aliyepotea ofcourse ndiyo zao wagogo! aendelee na maneno haya ambayo hayana tija yoyote kwa wa-Tanganyika, the other time mwingine alisema CDM inafadhiliwa na Conservative chama tawala cha Uingereza, kama unataka lijadiliwe hili basi weka wazi nchi nyingine zote pamoja na USA na ujiulize kama una akili timamu kwa nini hawa wote wanaifadhili CDM? kama hawajawachoka magamba na uomba omba wao? NDIYO CDM itaendelea kufadhiliwa hata na South Africa kwa sababu wanatuonea huruma wa-Tanganyika jinsi ilivyo sasa akina Shimbo kujirimbikizia mipesa ya kutukuka, wanao uhakika kwamba CDM itaingia madarakani na tunao uwezo wa kukimbiza uchumi mpaka tutawafikia SA, na kuingia katika mataifa yanayoheshimika kama Angola inavyokimbiza, pia Brazil, Mexico etc.
 
kiukweli hamkwepi kabisa msaada wa ujerumani kwa cdm ni wazi na hasa chama christian democratic ndio mabwana wa cdm tukiongezea na shoga cameroon ni marafiki wakaribu wa mbowe/cameroon ni patner ktk ushoga wao

Hapa ndiyo mwisho wako wa kufikiri na unajiita Great Thinker?!!
 
Back
Top Bottom