Wakunyuti
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 380
- 13
- Thread starter
- #81
Kikukwelii, hii topic hata hao anthropologists wanatofautiana sana, bado ni very debatable mno, hadi ilibidi itolewe kwenye sylabuses za sehemu kadhaa.
hata proof that hiyo skull ya hao watu wa kale kabisa hakuna proof kama wanauhusiano na binadamu.
lakini kuna maswali mengi sana ambayo wenye kupinga evolution wameshindwa kujibu, an mengi ambayo wenye kuikubali wameshindwa kuyajibu.
anyway as we are here, lets use our time wisely,
kama juzi kuna yale mandege makubwa kama dinasour wanaoruka, walidaiwa wako extinct lakini kumbe wako tu wanaogopa watu wanaonekana mara chache huko amerika kusini.
mimi nilishaacha kufuatilia hivyo sina hata data mtanisamehe.
Kwa hiyo historia inatudanganya??