SUPER ZERO
Member
- Feb 1, 2017
- 68
- 52
Nyie ndowale wakazi ya kufanywa kwa malipo ya shilingi elfu kumi mnasema milioni kazaa
Kwaiyo ndege zilinunuliwa kwa zaidi ya trillion moja???!!
We kiboko asee duh!
Mimi hiyo ni taaluma yangu nakuthibitishia haiwezekani anayetaka kuaminisha watu kuwa bil 10 zimeyajenga naye atakua kujaza tu
Ukoo wa panya wakiona debe halina mahindi wanasema mkulima amekufa kumbe hajafa amehamisha pahala pa kuweka mahindi
Mbona mnakuwa wadadisi hata maswala ya msingi?Tunafurahia kupata hostel mpya za kulala wanafunzi pale Udsm. Ni sawa. Tumefahamishwa kuwa kuna flat 20 zenye floor 4 kila moja.
Mimi sio mtaalamu wa majengo. Lakini wataalamu wa majengo wanaweza kweli kututhibitishia kuwa hizi bilioni kumi ndio halisia? Ukiangalia kwa ukaribu unapata shaka. Naamini kuna hela imezidi Ila kwa vile mkuu alishatamka hicho kiasi basi TBA wamelazimika kuendelea kukariri bilioni kumi.
Jé wasimamizi wa mradi huo walikuwa hawalipwi? Bodi ya ukadiriaji majenzi ina standard zake katika kujenga Jengo lolote. Nina amini ipo siku tutapata uhalisia wa gharama hizo.
Kuna athari kubwa ya kutokuwa wakweli katika mradi huo. Athari yake ni kuwa kila jengo litakalojengwa nchini kama litapita gharama hizo basi wataambiwa wameweka chá juu. Tuliona hili kule Simiyu. Rais alikataa Jengo lenye kukadiriwa hela nyingi. Akatoa mfano wa bilioni kumi katika mradi huu wa mabweni ya udsm. Wataalamu watakuwa na woga kuleta gharama halisi zá majengo kwa hofu ya kuambiwa wameweka chá juu.
Tunahitaji kupata majengo haya kwa gharama nafuu lakini isiwe chini ya nafuu. Natoa wito wakadiriaji majenzi waje hapa kutupa standard zao zikoje kwa majengo kama haya. Wasiogope kusema ukweli.
Flat 20 ina maana kila flat iligharimu shilingi milioni 500. Jé flat moja lenye floor 4 gharama yake ni milioni 500? Na hapo hapo wakajenga na uzio. Sitaki kufurahia tu kupata majengo haya lakini lazima gharama halisi zionekane.
Tungoje utawala wa Lowasa utakaojenga hostel zitakazohimili hata tetemeko kubwa kabisa duniani. Hapo ndipo utakaporidhika. Tusubiri. Lakini kwa sasa endelea kuumiza roho yako kwa sumu ya chuki. Pole sana aisee.Nyumba tu,standard ya kawaida inakimbilia milioni 100,sasa ghorofa ina zege ya msingi,nguzo,nondo, kokoto,
Halafu weka miundombinu ya ghorofa ya kwanza,zege la kutosha,mondo,kokoto,
Halafu weka miundombinu ya ghorofa ya pili,zege,kokoto,mchanga,simenti,nguzo.....
Endelea hovyo mpaka ghorofa ya NNE
Haya,finishing,vigae,rangi,umeme,fenicha,
Lips maji,vibarua
Ngumu sana kutumia milioni 500 tu
sasa unataka kusema serikali imejiibia/imejipunja yenyewe??ubishi mwingine hauna maana, sie majengo tunayaona inatoshaMimi hiyo ni taaluma yangu nakuthibitishia haiwezekani anayetaka kuaminisha watu kuwa bil 10 zimeyajenga naye atakua kujaza tu
Kudadisi ndio akili, kutodadisi ni ujinga!Mbona mnakuwa wadadisi hata maswala ya msingi?
Hapo ni kuwapongeza kwa kwenda mbele na kuwapa miradi kila wilaya wajenge mafleti hayo 20 ya ghorofa nne, kwa bilioni10.
Hamuoni tutakuwa tumeokoa fedha nyinhi?
Mbona kuna miradi mingine mingi wamepewa hata ule wa Magomeni Kota, mpaka tena mmeanza kupiga DOMO !Mbona mnakuwa wadadisi hata maswala ya msingi?
Hapo ni kuwapongeza kwa kwenda mbele na kuwapa miradi kila wilaya wajenge mafleti hayo 20 ya ghorofa nne, kwa bilioni10.
Hamuoni tutakuwa tumeokoa fedha nyinhi?
People with great minds can not be comfortable in this country.
Yani waswahili bana mliletaga uzi umu kwa haitowezekana
Imewezekana, mnatafuta cha kuongea tena.
Me nadhani mlikuwa mnaombea mambo yasiende sawia.
Kumbeh wasawhili si watu wa kuwaendekeza hata kidogo.
Ngoja CAG apitie hapo utasikia kutokana na kupanda kwa ngarama fulani au dola imepanda na ngarama ineongezeka na kufikia bilioni kadhaa kwa jengo,huwezi jenga floor moja na finishing kwa milioni 100 labda utumie matope.Tunafurahia kupata hostel mpya za kulala wanafunzi pale Udsm. Ni sawa. Tumefahamishwa kuwa kuna flat 20 zenye floor 4 kila moja.
Mimi sio mtaalamu wa majengo. Lakini wataalamu wa majengo wanaweza kweli kututhibitishia kuwa hizi bilioni kumi ndio halisia? Ukiangalia kwa ukaribu unapata shaka. Naamini kuna hela imezidi Ila kwa vile mkuu alishatamka hicho kiasi basi TBA wamelazimika kuendelea kukariri bilioni kumi.
Jé wasimamizi wa mradi huo walikuwa hawalipwi? Bodi ya ukadiriaji majenzi ina standard zake katika kujenga Jengo lolote. Nina amini ipo siku tutapata uhalisia wa gharama hizo.
Kuna athari kubwa ya kutokuwa wakweli katika mradi huo. Athari yake ni kuwa kila jengo litakalojengwa nchini kama litapita gharama hizo basi wataambiwa wameweka chá juu. Tuliona hili kule Simiyu. Rais alikataa Jengo lenye kukadiriwa hela nyingi. Akatoa mfano wa bilioni kumi katika mradi huu wa mabweni ya udsm. Wataalamu watakuwa na woga kuleta gharama halisi zá majengo kwa hofu ya kuambiwa wameweka chá juu.
Tunahitaji kupata majengo haya kwa gharama nafuu lakini isiwe chini ya nafuu. Natoa wito wakadiriaji majenzi waje hapa kutupa standard zao zikoje kwa majengo kama haya. Wasiogope kusema ukweli.
Flat 20 ina maana kila flat iligharimu shilingi milioni 500. Jé flat moja lenye floor 4 gharama yake ni milioni 500? Na hapo hapo wakajenga na uzio. Sitaki kufurahia tu kupata majengo haya lakini lazima gharama halisi zionekane.
125M floor? dah tuache utani kwenye taaluma!kwahiyo milioni 125 haijengi floor moja waungwana? ok anyway tufanye wamejenga majengo yote kwa Tsh elfu 80, au trillion mia au billion 10, so what?????????